Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
On behalf of my self and the people of Tanzania, our deepest sympathies go out to the people of Cuba on the death of Fidel Castro!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124]
 
Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.

Duniani tuna nukuu (quotes) zawa watu maarufu kama Martn Luther king, Jr. Abraham lincoln na wengine wengi. Kwa hapa kwetu tuna nukuu za baba wa taifa mwalim Nyerere.

Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye uzi huu. Usihofu iwe mbaya masikio mwako au iwe nzuri wewe weka tu maana lolote analo litamka mkuu wa nchi linapaswa kutunzwa.

Naweka maneno mawili matatu kuanzisha ukurasa wa maneno ya mkuu wetu.

''Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''.



''Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake.
Njaa haijaletwa na serikali''.




Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote.
Na sisi hatujengi.



''Hakuna kufanya za siasa mpaka 2020''.




''Siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu.
Nakushangaa Shein kuwaingiza wapinzani''.



''Sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais.
Katiba sio kipaumbele changu. Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza''.


''Police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi,
ng'oa tairi uzeni''.



''Watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu
hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure''.



Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea. Ni wakati mwafaka kuweka maneno yake hapa.
=========

TAZAMA VIDEOS ZA SPEECHES MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI


Mwanukuu huku mnaisoma namba.....si ndio wanaccm?2020 mchague ccm eeeh.....majanga haya
 
Akihutubia kuhusu mimba za Wanafunzi "Kale kamchezo ni katamu,hakuna asieupenda"
 
  1. Kwani tetemeko lilitetemesha na kuvuruga migomba mpaka mseme mnanjaa?
  2. Tetemeko likatetemeshe wafungwa wajenge gereza lao!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee duhhh safari hii .
 
Kuna mtu nimeambiwa hapa Zanzibar anazuia watu kutumia kisima,huyo dawa yake mnamtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.
.
Hyungnim (형님) .,. 안녕하세요 .. Annyeong-haseyo
 
Back
Top Bottom