Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
5bc840cc32455e0f7f133f084eecb6dc.jpg
 
..Kama mtu anaukataa mkono wako, nawe KATAA mkono wako kufanya mambo yake..
 
Haiwezekani serikali itoe elimu ya bure halafu na wewe utoe mwili wako bure.
 
1. Jecha anastahili kupewa tuzo kwa utumishi uliotukuka.
2. Ningekuwa mm waliosema wanaimani na fulani ningewapoteza
3. I was forced by other east africa leaders to be chairman
 
UKIWA NA NYUMBA INANYOKA HUWEZI KUINGIA HUMO,UA KWANZA NYOKA TENA UTOBOE KICHWA CHOTE (anazunguzumzia ajira hewa)
 
ngono + Katerero ni vijiji imara sana katika kilimo cha ndizi
Ngono ni mto (tributary ya Kagera) na unaungana na Kagera kasikazini-mashariki mwa Kyaka. Katerero ni kijiji kasikazini mwa bandari ya Kemondo.
 
Back
Top Bottom