Then you'll have no business being in politics; because you have no conviction of what you believe in; this is not something you can wear when it is convenient, and un-wear when it suits you.Unaweza kuwa na nia ya kumuokoa mhanga wa majambazi lakini ukakosa ujasiri wa kupambana nayo. Sasa sijui utaambiwa hukuuona ubaya wa majambazi hivyo hukuwa na nia ya kuokoa?
Mkuu,Sawa mkuu. Lakini ungetilia maanani pia nilichoongeza kuhusu mazingira (the harsh and nasty reality).
Unaweza kuwa na nia ya kumuokoa mhanga wa majambazi lakini ukakosa ujasiri wa kupambana nayo. Sasa sijui utaambiwa hukuuona ubaya wa majambazi hivyo hukuwa na nia ya kuokoa?
Mimi binafsi hata kumpa rushwa trafiki inaniwia vigumu sana kisaikolojia. Not my cup of tea. Sijawahi.
Bora huyu mstaafu angeondoka badala ya benYote haya ni hila za kikwete na hatma ya uongozi wa nchi......alifanya uhuni wa kupindisha michakato 2015 ili ampate Membe au Januari au Asha rose migiro au Amina ambao vibonde kwake......watu wa lowassa wakampa Magufuli.....ikawa pigo kwake na ccm ikagawanyika na kiasi kikubwa ilikuwa ife sabubu ya huyu mzee wa njama njama......hii 2025 ameingia na gia ya kuchomekea jina la samia kwa njama njama kwenye kikao ambapo yeye siye msemeya wajumbe.......mjumbe mmojakwa ujasiri akahoji HATUWEZI KUMJADILI MWENYEKITI NA MAKAMU WAKIWA HAPA MBELE YETU WAENDE NJE KUPISHA KUWAJADILI........mamayenu kastuka akagoma kwenda nje kujadiliwa......uhuni tu.....kikwete sio wa kutupangia......wastaafu wanawashwa washwa wanavuga utaratibu kwa maslahi yake tamaa mbele mbele
Well, you really have faith, mkuu. I guess you have often heard or read that it's unusual to find the words politician and honest in one sentence?I agree with the first Part; not exactly with the second Portion of your answer.
Politics has nothing to do with crooked minds and means, even though such things do haPPen from time to time, i.e., the Trump types!
Jukwaa la wazushi Muhimu sana"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
A clear and, fundamental statement you've stated here. However, a leader who has 'conviction', has irreducible minimums for which he/she can Put on the line as bargaining assets.Politicians don't have to be necessarily "crooked". They may have the best of intentions, but they have to be strategic! That's where the trouble begins. Winning people in a competitive environment especially when the majority are simpletons, you have to craft your message in rather dubious terms: lots of incorrect "facts", unsubstantiated allegations, exaggerations and often plain lies. It's no easy task for a decent chap with purely rational mind to undertake.
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Sasa unabisha ulikuweepooo! Ndio amesusa sasa!Kwa sababu mpo kutunga uongo mitandaoni, ni swala la muda tu mtachanganyikiwa!
Mama yuponKizimkazi mkuu,usihofu!"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Kwa vile umesema Picha hii ni HALISI, imenibidi sasa nirudi na kuisoma vizur upya kabisai:Ni jambo jema
Nimehitimisha kwamba, kunakosekana kipicha kidogo tu, kwa upande wa kushoto ya watu hao kwenye picha; hiki kipicha ni kile cha Mzee Ally Mohamed Kibao.
Msoga genge leader hata hivyo IQ Yake huwa ni very low. Kiboko yake ni General PK a tough guy. Huwezi kukaka unawmeya mwenya ukawa na mawazo serious. Yeye huonaga kila kitu ni easy.Yote haya ni hila za kikwete na hatma ya uongozi wa nchi......alifanya uhuni wa kupindisha michakato 2015 ili ampate Membe au Januari au Asha rose migiro au Amina ambao vibonde kwake......watu wa lowassa wakampa Magufuli.....ikawa pigo kwake na ccm ikagawanyika na kiasi kikubwa ilikuwa ife sabubu ya huyu mzee wa njama njama......hii 2025 ameingia na gia ya kuchomekea jina la samia kwa njama njama kwenye kikao ambapo yeye siye msemeya wajumbe.......mjumbe mmojakwa ujasiri akahoji HATUWEZI KUMJADILI MWENYEKITI NA MAKAMU WAKIWA HAPA MBELE YETU WAENDE NJE KUPISHA KUWAJADILI........mamayenu kastuka akagoma kwenda nje kujadiliwa......uhuni tu.....kikwete sio wa kutupangia......wastaafu wanawashwa washwa wanavuga utaratibu kwa maslahi yake tamaa mbele mbele