Mkuu Mwl RCT,
Nina hitaji la haraka sana la hii device nawezaje kupata mkuu? naomba msaada wako.
EZ-AD TV | In-Store Digital Signage
TV ziko za viwango / uwezo tofauti tofauti, Bila kunipa model ya TV husika, Ni vigumu kukuambia ghalama yakeMkuu nikijitaji TV ya nchi 32 au 24 kutoka USA napata kwa sh ngap??
wewe bado mgeni..angalia ushuhuda kwa watu tuliofanya nae kazi.Apa lazima mtu apigwe tu ngoja watakuja kulia lia tena kama mwaka jana ,
Chagua moja kati ya hizi gitaamwl. RCT..
nlikuwa nataka '' acoustic guitar" aijui gharama yake itakuwa kama sh. ngapiView attachment 471599[/IMG][/IMG]
Ingia EBAY, au site nyingine
Tafuata model unayohitaji, kisha nipe link yake.
Karibu
Global sources ndiko ziko. NIKONI D 90 / NIKONI D 5300
Siwezi butiCopy link na niwekee hapa
Sio bei yake
Nimeona hii laptop kupitia mtandao wa ebay,napata wasiwasi kuhusiana na bei iliyotajwa,je ni kweli ndio bei yake ukilinganisha na specification zake,naomba msaada kwa mwenye kujua
Cc:mwl.CRT
http://www.ebay.com/itm/HP-Pavilion-Laptop-17-3-LED-AMD-A10-3-20GHz-8GB-1TB-HD-DVD-RW-WebCam-WiFi-Win10-/112043955301
Asante mkuu,ningependa kujua pia kwa nn wanakua wanaandika hizi bei za chiniSio bei yake
Bei yake angalia hii picha
View attachment 472043
Link yake ni hii
Code:http://www.ebay.com/itm/HP-Pavilion-Laptop-17-3-LED-AMD-A10-3-20GHz-8GB-1TB-HD-DVD-RW-WebCam-WiFi-Win10-/112043955301
Kitu cha kuzingatia ebay - Angalia bei ya bidhaa toka kwa Top Rated Seller
Ebay ina bidhaa nyingi na wauzaji wengiAsante mkuu,ningependa kujua pia kwa nn wanakua wanaandika hizi bei za chini
Samahani lakini na we ni tapeli mwingine..... Mana tushalizwa sana...nauliza japo jib rahis tu nitapewa
Tunahakiki vipi link mkuuEbay ina bidhaa nyingi na wauzaji wengi
- Hivyo baadhi yawauzaji wanaweka bei ndogo zisizo na uhalisia ili kwenye search results kwa kutumia ebay search engine waweze kuonekana - Na kukupelekea wewe kutembelea store yake ambapo utakuta bidhaa zake zingine anazouza , Hili ndio lengo kubwa.
View attachment 472048
Zipo sababu zingine. Mfano bidhaa iliyo kwenye mnada huanza kwa bei ya chini sana, na bei huongezeka kadri wanunuzi wanavyoweka dau kubwa.
View attachment 472049
Kwa kulizingatia hili ndio sababu ya kuweka hatua ya uhakiki wa link , ya bidhaa husika, kabla ya manunuzi kufanyika