Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #281
Mkuu Mwl RCT,
Nina hitaji la haraka sana la hii device nawezaje kupata mkuu? naomba msaada wako.
EZ-AD TV | In-Store Digital Signage
Iwapo utakuwa tayari kusubiri kwa wiki 1 - 4, Kupata hii item
Basi twaweza kuendelea na Taratibu za manunuzi
Sambamba na manunuzi, Pia inatakwa uchague "Package" mojawapo ya mwezi kati ya hizo.
Karibu