KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Hata kama kuna tatizo, hapaswi kuwa block wateja wake baada ya kukwapua hela zao, kwanini asiwe muwazi!! Au ni wewe mwenyewe mkuu!!Sidhani kama shida ni kuaminika nahisi amepata tatizo au yuko njenya mtandao . Mkuu huyu yu mwaminifu sana
Hii issue ina ushahidi Mkuu?Hata kama kuna tatizo, hapaswi kuwa block wateja wake baada ya kukwapua hela zao, kwanini asiwe muwazi!! Au ni wewe mwenyewe mkuu!!
Wakuu mi kachukua pesa tangu tangu March wazee tuanzishe uzi tujuane jamaa c verified hapa hawawezi kutusaidia jfWahanga tupo wengi kumbe.
Uamimifu ni mtaji pia. Vipi kama ameamua kujiwekeza kwenye uamimifu kwanza ili akipiga bomu lilipuke na watu wengi?Sidhani kama shida ni kuaminika nahisi amepata tatizo au yuko njenya mtandao . Mkuu huyu yu mwaminifu sana
Kweli amepotea Mungu amssidie arejee tena. Jamaa ni mwaminifu sana nimeshamtumia kuagizw bidhaa mara tatu .
Mkuu mwl CRT rudi tafadhali.
Kulikoni KakaJambaziHuyu kuna mipango inafanywa adakwe kama ki-FBI.
hahha. umerudi kiongozi. KaribuKulikoni KakaJambazi
View attachment 1539118
Nafanyia kazi jumbe zote, Moja baada ya nyingine.
#1. Bidhaa ya mteja Toka USAPambana kaka. ukimaliza tukupe kazi nyingine
#1. Bidhaa ya mteja Toka USA
View attachment 1539212
#2. Bidhaa ya mteja kutoka URUSi
View attachment 1539218
#3. Bidhaa ya mteja kutoka China
View attachment 1539219
#4. Bidhaa ya mteja Toka London -UK
View attachment 1539220
#5. Mzigo mwingine kutoka USA
View attachment 1539221
Huduma ya Usafiri na usafirishaji imerejea katika hali yake ya kawaida.
Hivyo waweza wasiliana nami kwa order yako
Karibu
Hii commnet yako ni ya 3,755Mbona wachangiaji wengi humu wanasema "sijafanya nae kazi lakini namuamini" ........Mmmh kulikoni......!!!!!????
Onyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!!Hii commnet yako ni ya 3,755
Je ni kweli kuwa umesoma thread yote na comment zote zaidi ya 3000 kweli?? na kufikia hili hitimisho lako.
Je umepitia nyuzi zangu zingine za biashara kabla ya hii?
Karibu
Onyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!!Hii commnet yako ni ya 3,755
Je ni kweli kuwa umesoma thread yote na comment zote zaidi ya 3000 kweli?? na kufikia hili hitimisho lako.
Je umepitia nyuzi zangu zingine za biashara kabla ya hii?
Karibu