Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Site nyingine nzuli kwa ununuzi wa bidhaa
- Wana free shipping kwa items zilizonyingi
View attachment 436652
Bei gani hii mkuuNi vyema ukapata Kindle PaperWhite - Hii ni device maalum nzuli kwa walio addicted na novel /vitabu kwa ujumla.
Ambapo utakuwa ukinunua vitabu toka amazon na instantly unakipata katika kifaa chako na kuanza kusoma hapo kwa hapo.
0759777031, nawasilishaweka namba nikuweke kwenye group la mauzo online ujifunze manunuzi online na ukutane na wauzaji wa online kutoka mataifa mbali mbali
0621003284weka namba nikuweke kwenye group la mauzo online ujifunze manunuzi online na ukutane na wauzaji wa online kutoka mataifa mbali mbali
product zao ni cheap price - Sababu bei walio iweka ni ya bidhaa tu, hawajaweka ghalama ya kusafirishia,Naomba msaada kuhusu hawa jamaa wa Alibaba naona product zao ni cheap price tofaut na site nyingne za online shopping
Je ni safe site kufany manunuzi au kuna mtu alishawah kuitumia atupe mrejesho?
Hamna mkuu, huyu ni mwingine, angalia mwanzo wa uzi.Kelvin Issaya au?
Ndugu Charity24 Ahsante sana kwa mrejesho, juu ya huduma hii ya manunuzi mtandaoni, share ukurasa www.v.ht/buy4me huu na ndugu wengi.Wakuu naomba kuwajulisha kwamba nimeagiza bidhaa tatu tofauti na zote zimefika salama. Ningenunua hapa Bongo zingenigharimu sana maana ni Specialized gadgets.
Of course niliagiza kwanza kidogo maana nilihofia kutapeliwa, lakini kwa namna mtiririko wa matukio ulivyokuwa na response zilivokuwa za haraka kwa kweli nimewaamini hawa jamaa.
Tena kuna tatizo flani za kiufundi View attachment 438451 lilitokea lakini likawa solved vizuri kabisa.
Siku zote mi huwaambia vijana kwamba "Uaminifu ndiyo mtaji namba moja"
Karibu SanaNitakutafuta weekend ijayo mkuu