Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

We jamaa ni kama unachuki na jamaa nikupe habari huyu bwana nishafanya naye biashara niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna wahudumu kibao tu

Kama umachuki zako Kausha mambo ya kike kwa mwanaume utabakwa
Usiongee usichokijua, wengine tumekaa kimya tuna buy time kusubiria hizo ahadi zake hewa, kabla ya kuweka ushahidi humu.
Kama ni wewe, au mwambie abishe kuwahajafanya utapeli wowote na alalamike Kwa mod kuwa anaharibiwa reputation yake na tuthibitishe, vinginevyo tupigwe ban, sijui utaficha uso wako wapi.!
 
Mwalim sio tapeli sijawahi kuagiza mzigo kupitia kwake ila miaka ya nyuma alikua ananiuzia account za avatarcam na cccam zinazotumika kwenye ving'amuzi vya kichina. Sikuwahi kuona hata harufu ya utapeli kwa huyo mtu.
Usiongee usichokijua, wengine tumekaa kimya tuna buy time kusubiria hizo ahadi zake hewa, kabla ya kuweka ushahidi humu.
Kama ni wewe, au mwambie abishe kuwahajafanya utapeli wowote na alalamike Kwa mod kuwa anaharibiwa reputation yake na tuthibitishe, vinginevyo tupigwe ban, sijui utaficha uso wako wapi.!
 
Kumwamini mtu nisijemjua au kujua ofisi yake kwangu ni ngumu. Siku akiamia kuzima simu!
 
Onyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!! q1q wateja ako sijui wa USA au Urusi inatusaidia mini sisi kwani tunawajua hayo ni maandishi tu na ndivyo mulivyo hakamatiki MTU hapa labda hao hao
Acha kuchafua majina ya watu, nimefanya nae biashara kwa uhakika...Hadi bidhaa imenifikia Tunduma.
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa kujibu swali jepesi..... "Ofisi zenu ziko wapi.....?" Baadala kuleta jibu mnaleta Ulofa hapa mnajitambua kweli nyinyi?? halafu huyo zwazwa mwenzio mleta post anaulizwa ofisi ilipo anajifanya kiburi eti soma post za nyuma......!! Uzi upo namba 188 unataka tusome..vipi we we siyo useme tu.....na wewe "Pumba" on a ulichoandika
"niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna wahudumu kibao tu" Narudia tena Ofisi zenu ziko wapi.....!!!?? Haibiwi MTU hapa.....!!!
Ndio maana nchi zetu zinaingia mikataba ya hovyo hovyo sababu viongozi hawasomi mikataba kabla ya kusaini.

Ukipewa mkataba unaambiwa soma kabla ya kusaini wewe unasema nionyeshe tu sehemu ya kusaini[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe hata ukionyeshwa kila kitu kama hujasoma maelezo ni kazi bure tu.
 
  • Thanks
Reactions: SIM

Kiufupi huyu bwana mimi simfaham lkn aliniagizia mizigo yangu mara mbili kutoka China na USA na akanitumia huku mkoani kwa uaminifu mkubwa. Ubarikiwe sana Mwl.RCT
 
Ndio maana nchi zetu zinaingia mikataba ya hovyo hovyo sababu viongozi hawasomi mikataba kabla ya kusaini.

Ukipewa mkataba unaambiwa soma kabla ya kusaini wewe unasema nionyeshe tu sehemu ya kusaini[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe hata ukionyeshwa kila kitu kama hujasoma maelezo ni kazi bure tu.
Short mind.....hapa tunazungumza na mmoja wetu anafanya biashara unaulizwa office zenu ziko wapi ? unatoa mimacho oooh sons hapo juu.....!!!! Hill ndiyo jibu? Moja kwa moja nawaona wababaishaji Hamna Lugha mzuri na ni Matapeli.....
 
Acha ujinga wewe sema ofisi zao ziko wapi.....????!!!! Acha ulofa eboooo....!!
 
1598332652562.png
 
mbona bei imeenda mbali ghafla kutoka USD15-17 mpaka 118k au sijaelewa wapi?
Bidhaa za alibaba bei waliyoweka huwa ni bei kwa jumla jumla hilo moja

Pili hawajaweka shipping cost

Tatu handling charges pia hakuna.

Ndio sababu bei kwa alibaba utaona kuwa iko chini sana , ila kiuhalisia sio bei au gharama halisi utakayolipia

Ni sawa na bei za magari jinsi ambavyo huwekwa
1598706488350.png

Ukiangalia hapo thamani ya gari haijafika hata milioni Tatu na nusu, Hivyo bei uionayo kwa baadhi ya site SIO BEI HALISI UTAKAYOLIPIA
 
Acha ujinga wewe sema ofisi zao ziko wapi.....????!!!! Acha ulofa eboooo....!!
Unaponunua amazon unajua ofisi zilipo? Je kikuu ushaona ofisi zao? Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako. Mbona sisi tumwagiza miaka na miaka tumepata mizigp. Mi nimemtumia 5 times . Au huna cha kuagiza? Na choice ni nyingi si utumie fedex au dhl kama una mashaka. Its a free world
 
Bidhaa za alibaba bei waliyoweka huwa ni bei kwa jumla jumla hilo moja

Pili hawajaweka shipping cost

Tatu handling charges pia hakuna.

Ndio sababu bei kwa alibaba utaona kuwa iko chini sana , ila kiuhalisia sio bei au gharama halisi utakayolipia

Ni sawa na bei za magari jinsi ambavyo huwekwa
View attachment 1551967
Ukiangalia hapo thamani ya gari haijafika hata milioni Tatu na nusu, Hivyo bei uionayo kwa baadhi ya site SIO BEI HALISI UTAKAYOLIPIA
ok nimekusoma
 
Back
Top Bottom