Usiongee usichokijua, wengine tumekaa kimya tuna buy time kusubiria hizo ahadi zake hewa, kabla ya kuweka ushahidi humu.We jamaa ni kama unachuki na jamaa nikupe habari huyu bwana nishafanya naye biashara niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna wahudumu kibao tu
Kama umachuki zako Kausha mambo ya kike kwa mwanaume utabakwa
Kama ni wewe, au mwambie abishe kuwahajafanya utapeli wowote na alalamike Kwa mod kuwa anaharibiwa reputation yake na tuthibitishe, vinginevyo tupigwe ban, sijui utaficha uso wako wapi.!