Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

muda gani mpaka kuzipata?
Wiki 3
emoji778.png
NJIA YA MALIPO (KUTUMA FEDHA)


Malipo yote yanapitia Benki, Chagua njia mojawapo kati ya hizi kufikisha fedha yako benki.

(a) Kwa kwenda benki na kuweka kiasi husika au

(b)
Kwa kutumia Mobile Banking - kwa mtandao wa Tigo au VodaCom (kama ilivyoelekezwa hapa chini)
Utanijulisha kati ya njia A au B ipi unahitaji kutumia.
 
Mheshimiwa kama utajaaliwa niangalizie na chaja ya hizo betri ili iwe rahisi. 1.5V AA 9800mAh Alkaline Rechargeable Battery with Charger for TV Remote Control Alarm Clock Flashlight Remote Control Toy, Etc
1684237657580.png

  • Angalia muuzaji mwingine
  • Huyu muuzaji Ghalama ya usafirishaji aliyoiweka ina makosa
 
Sehemu kubwa gharama ya usafirishaji ni kama zinafanana ni kubwa sana kuliko hata ya kununulia mara nyingi!
1684290525231.png

TZS. ‭150,450‬

=
Utanijulisha 'chaja' uliyochagua kati ya hizi tatu.
 
Betri 30pcs = 632,400
Chaja 1pcs = 79,050

Jumla = ‭711,450‬
Asante sana mheshimiwa kwa kazi njema.MUNGU AKITUJAALIA TUTAWASILIANA.Kikubwa cha kupendeza una bidii kujibu mapema bila kujivuta vuta.Hiyo ni nzuri sana maana wengi wetu huwa hatuzingatii sana kwenda na muda jambo ambalo siyo jema kwa maendeleo ya mtu binafsi N.K.
 
Back
Top Bottom