Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Mshana mi nielekezee tu kununua hao jamaa mim Nimejaribu nilikuwa naambiwa wasiliana na supplier Sasa unakuta supplier anataka nimtumie pesa ye direct kitu kilichokuwa kinafanya niogope. wee unafanyaje fanyaje naogopa kuibiwa
 
Ordered April... Received June... Free shipping by seller method (almost cheapest one). AliExpress Standard Shipping huchukua 10days-15 days b4 corona
 
Vipi kuhusu kuagiza kitu A ukaletewa B?
 
Mshana mi nielekezee tu kununua hao jamaa mim Nimejaribu nilikuwa naambiwa wasiliana na supplier Sasa unakuta supplier anataka nimtumie pesa ye direct kitu kilichokuwa kinafanya niogope. wee unafanyaje fanyaje naogopa kuibiwa
Transaction zote zinapitia kwa wakala ..huwezi hata siku moja kufanya biashara na muuzaji hapo ulikuwa unapigwa
 
Naomba kuuliza kuhusu suala la kodi. Nitajuaje kuwa kitu hicho kipo registered na hakitachajiwa kodi?
Na kingine kuhusiana na usafirishaji, je ni kampuni gani inasafirisha kwa bei ya wastani na kwa muda mfupi?
Nimerudi ngoja asubuhi nitakupa majibu ya uhakika kwenye kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…