Nyahoza: Vyama vya siasa vifuate sheria tusiwe tunaandikiana barua

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Your browser is not able to display this video.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amethibitisha kuwa ujio wa ofisi hiyo katika Makao Makuu ya CHADEMA leo Jumatatu, Juni 1, 2026, ulikuwa na agenda moja tu ya kisheria inayohusu uundaji wa sera na madawati ya jinsia, huku akigoma katakata kujibu maswali ya wanahabari kuhusu kwanini chama hicho kimekuwa kikiandikiwa barua nyingi za mashitaka kuliko vyama vingine.

Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho jijini Dar es Salaam, Nyahoza amepongeza uongozi wa CHADEMA kwa kutekeleza vyema sheria hiyo na kuwakaribisha vizuri ofisini kwao.

Nyahoza ameweka wazi kuwa kikao hicho kiliwashirikisha pia washirika wao kutoka Mtandao wa Mashirika ya Kutetea Haki za Wanawake (WiLDAF), na kimeenda kwa ufanisi mkubwa bila kugusia misuguano ya kisiasa iliyopo mahakamani.

Soma pia Sisty Nyahoza: Ofisi ya Msajili Hajakiuka amri ya Mahakama kuwaandikia barua CHADEMA
 




 

Attachments

  • Screenshot_20251201-222021~2.png
    1.3 MB · Views: 14
ni muhimu sana vyama vya siasa vinavyokiuka sheria kufutwa mara moja ili kusitawisha demokrasia na siasa ya nidhamu
 
Tatizo tume hailewi wakati tulionao wananchi wanahitaji nini ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…