Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

Tena wale wazee waliokuwa wanoko maofisini sijui Huwa wanakutwa na laana gani wengi wanachoka vibaya sana baada ya kustaafu.
Sijui waliweka akili Yao Zaid ofisin kuliko maisha baada ya kustaafu,nimeona wengi tu mtaani walikuwa maboss wanasaga rhumba
 
Namuomba Mungu niwe na mwisho mwema....Amen..🙏
 
Mtoto hawezi beba majukumu ya baba utatafuta bure lawama ooh niliwasomesha sijui international,we kamata pori nje ya mji panda miti ukiwa Mzee litakufaa utauza ujenge frem,au uwekeze fix ule pension.
Kutegemea mke au watoto hizo ni probability.
Ndo maana watu wengine hawasomeshi watoto wao English Medium
 
Tulio na mawazo ya kuwa akina JP Morgan wa baadae imekaa vipi hapo?
 
Mtoto hawezi beba majukumu ya baba utatafuta bure lawama ooh niliwasomesha sijui international,we kamata pori nje ya mji panda miti ukiwa Mzee litakufaa utauza ujenge frem,au uwekeze fix ule pension.
Kutegemea mke au watoto hizo ni probability.
Mkuu, ebu rudia kusoma tena kama kuna sehem nimeandika mtoto ama mke abebe majukumu ya baba...😊
 
Ndo maana watu wengine hawasomeshi watoto was English Medium
Mkuu, mimi naamini kwamba ni wajibu wa baba kumsomesha mtoto wake na apate alimu nzuri na iliyo bora.
Ni wajibu wa baba kuhakikisha mwanae anakula chakula bora, anapata tiba na malazi kwa ujumla.
Lakini sio jukumu la mtoto kuwajibika kwa wazazi wake maana yeye ni matokeo ya sterehe za baba na mama yake, tena mtoto hapangi kuzaliwa.
Mzazi anapaswa kujiandalia maisha yake ya uzeeni mara baada ya umri ama ngungu za kutinga kukoma.
 
Elimu ni nini?
 
Tena wale wazee waliokuwa wanoko maofisini sijui Huwa wanakutwa na laana gani wengi wanachoka vibaya sana baada ya kustaafu.
Sijui waliweka akili Yao Zaid ofisin kuliko maisha baada ya kustaafu,nimeona wengi tu mtaani walikuwa maboss wanasaga rhumba
Wengi hujisahau kwamba kuna maisha baada ya kustaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…