dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
NAKAZIAKataa ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAKataa ndoa
Namuomba Mungu niwe na mwisho mwema....Amen..🙏Sawa kabisa ndo kama nilivyoeleza kwenye mada ya Jana ya vijana wezeni Fainali Umri Mkubwa.Hii ni kweli kabisa Nina miaka 53nayaona kwa sana.Nina mjomba wangu anaumwa Kansa alikuwa mbishi sana enzi zake! Kwa Sasa anapelekwa tuu kutibiwa Wala habishi ila hakuzingua kusomesha watoto hata sisi wapwa zake tulifaidi matunda yake.Huu Uzi mtamu na wa uhakika sio mambo ya mbususu,mamanzi yatapita,ila uzeeni utapita kwa taabu kama hukuwekeza kwa ardhi, watoto na jamii kwa ujumla.Mungu kwanza.
Sasa hizo hadi nivushe 75 hukoKustaafu sio lazima uwe mtumishi mkuu...
Kustaafu ni kukoma umri/nguvu za kufanya kazi.
Ndo maana watu wengine hawasomeshi watoto wao English MediumMtoto hawezi beba majukumu ya baba utatafuta bure lawama ooh niliwasomesha sijui international,we kamata pori nje ya mji panda miti ukiwa Mzee litakufaa utauza ujenge frem,au uwekeze fix ule pension.
Kutegemea mke au watoto hizo ni probability.
Tulio na mawazo ya kuwa akina JP Morgan wa baadae imekaa vipi hapo?1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako.
2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu.
3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia
A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na mamlaka zaidi ndani ya familia. Kipindi hiki ndicho baba hukitumia kuwekeza na kuwasomesha watoto wake tena wakati huo akiwa mkali sana.
B- Utawala wa mama:- hiki ni kipindi ambacho mama hutumia muda muda mwingi kumtunza nyumba na kumtunza mume/baba akiwa ameanza kuzeeka. Na kipindi hiki maranyingi upendo huongezeka kwa mama na mama, pia hutumia muda mwingi kumtumukia Mungu na kulea wajukuu.
B- Utawala wa watoto:- Hiki ni kipindi ambacho watoto wamekua wakubwa na wengu wana kazi zao na familia pamoja na watoto. Kipindi hiki watoto ndio hutoa maamuzi ya familia yaani baba na mama, na hapa watoto ndio hua na mamlaka ya kuamua (mfano mama anaumwa aende akatibiwe daslam) pasipo kujali kwamba baba anabaki pekeake na atapikiwa na nani. Hiki ndio kipindi ambacho kama mzee ulizingua kwenye malezi basi ndio wakati wa kutamani kufa na kujiona unanyanyasika. Wababa wengi hufa sana katika kipindi hiki.
Mkuu, ebu rudia kusoma tena kama kuna sehem nimeandika mtoto ama mke abebe majukumu ya baba...😊Mtoto hawezi beba majukumu ya baba utatafuta bure lawama ooh niliwasomesha sijui international,we kamata pori nje ya mji panda miti ukiwa Mzee litakufaa utauza ujenge frem,au uwekeze fix ule pension.
Kutegemea mke au watoto hizo ni probability.
Mkuu, mimi naamini kwamba ni wajibu wa baba kumsomesha mtoto wake na apate alimu nzuri na iliyo bora.Ndo maana watu wengine hawasomeshi watoto was English Medium
Elimu ni nini?Mkuu, mimi naamini kwamba ni wajibu wa baba kumsomesha mtoto wake na apate alimu nzuri na iliyo bora.
Ni wajibu wa baba kuhakikisha mwanae anakula chakula bora, anapata tiba na malazi kwa ujumla.
Lakini sio jukumu la mtoto kuwajibika kwa wazazi wake maana yeye ni matokeo ya sterehe za baba na mama yake, tena mtoto hapangi kuzaliwa.
Mzazi anapaswa kujiandalia maisha yake ya uzeeni mara baada ya umri ama ngungu za kutinga kukoma.
Wengi hujisahau kwamba kuna maisha baada ya kustaafu.Tena wale wazee waliokuwa wanoko maofisini sijui Huwa wanakutwa na laana gani wengi wanachoka vibaya sana baada ya kustaafu.
Sijui waliweka akili Yao Zaid ofisin kuliko maisha baada ya kustaafu,nimeona wengi tu mtaani walikuwa maboss wanasaga rhumba
Daah....mnyama anatoa ushauri mnazinguaHakuna aliekutuma uowe mapema, ngoja jua likupombe
Amekurupuka!Mkuu, ebu rudia kusoma tena kama kuna sehem nimeandika mtoto ama mke abebe majukumu ya baba...😊
Halafu ukikataa ndoa ukubali Nini!??Kataa ndoa
Ubaya haulipi!Tena wale wazee waliokuwa wanoko maofisini sijui Huwa wanakutwa na laana gani wengi wanachoka vibaya sana baada ya kustaafu.
Sijui waliweka akili Yao Zaid ofisin kuliko maisha baada ya kustaafu,nimeona wengi tu mtaani walikuwa maboss wanasaga rhumba