Mkuu unaongea kama hujui maana ya ajali.hata ujipange vip ikiamua kutokea inatokea tuh.hicho chombo kilichozama unazan kimeanza fanya kazi leo?
Kitambo kinapeleka watalii huko chini ila ndio mipango ya mola hio
Tena Kwa ghamara kuuuuubwaUtalii mwingine ni kukitafuta kifo kwa tochi na kwa hiari.
Bahari ya Atlantic ni mlango wa kuzimu.Dangerous mission
Siyo majaribio mkuu. Ni chombo ambacho kimeshafanya safari nyingi za aina hiyo. Wanakiita experimental kwa sababuKifaa kilikuwa kwenye majaribio bado(hao wote waliokufa walikuwa explorers) Yaani wavumbuzi , fuatilia vizuri. Hii haikuwa ajari ya kawaida bali ilikuwa katika phase ya Majaribio na watu wakafa.
kwanini Kiko bolted au ni sharti mkuu?Washadanja na chombo kilivyo hata kingeibuka chenyewe hawawezi kutoka kiko bolted kwa nje so assume kikaibukia mahali kama hakijapatikana watabak humo oxygen mpaka inaisha
Kime "explode"?Mabaki yamepatikana sehemu ambayo sub ilipotelea
Hakuna uhai tena
Kile chombo kimetengenezwa mahususi kwa design ya gharama nafuu. Chini ft 12000 kwenye kina cha maji kuna pressure kubwa sana, so the cheapest way for the design ilikuwa wakishaingia kinakuwa bolted kwa nje ili kufanya kiwe intact pressure ya maji isiweze kupenya.kwanini Kiko bolted au ni sharti mkuu?
Nimemuonea huruma huyo mtoto[emoji24]
Hivi debris ni vipande pande?You must be joking
How comes you find the debris 3800m under water and the humans be alive under such depth?
Wapo wengine tayari wanahoji kwamba hii habari imevuma kwa sababu inahusu mabilionea. Wangekuwa ni watu wa kawaida, habari ingepata uzito ule ule?kwanini Kiko bolted au ni sharti mkuu?
Nimemuonea huruma huyo mtoto[emoji24]
Hawa 750 missing migrants mostly ni kutokana na ujinga wao wenyewe kwa kuwachekea watawala wao wash.enzi. Hao hasa ni waafrika na watu wachache kutoka sehemu za mabara mengine ya Asia na Ametika ya kusini.Wapo wengine tayari wanahoji kwamba hii habari imevuma kwa sababu inahusu mabilionea. Wangekuwa ni watu wa kawaida, habari ingepata uzito ule ule?
Dogo kaenda na baba yake kwenye adventure kumbe masikini ndiyo wanakwenda kupata full Titanic experience. Inasikitisha!
View attachment 2666202
Kwa hiyo wafe tu?Hawa 750 missing migrants mostly ni kutokana na ujinga wao wenyewe kwa kuwachekea watawala wao wash.enzi. Hao hasa ni waafrika na watu wachache kutoka sehemu za mabara mengine ya Asia na Ametika ya kusini.
Zaidi sana ni majanga ya kujitakia
Hivi debris ni vipande pande?
"Volenti non-fif injuria"Kwa hiyo wafe tu?
Juzi pale pwani ya Italia chombo kimezama na mamia wakafa huku Coast Guard wa Italia wapo tu wakiangalia bila kutoa msaada wo wote.
Haya mabaki si yatakuwa yamesambaa hadi huku coco beach wavuvi kempu
Duuh hatari....then naiona hii sub kama haina vioo vya kuchungulia nje....je hayo mabaki ya Titanic wangeyaonea kwa wapi?Kile chombo kimetengenezwa mahususi kwa design ya gharama nafuu. Chini ft 12000 kwenye kina cha maji kuna pressure kubwa sana, so the cheapest way for the design ilikuwa wakishaingia kinakuwa bolted kwa nje ili kufanya kiwe intact pressure ya maji isiweze kupenya.
Ndio washa RIP mkuu kila kitu kina risk wapo wengi walikufa kwenye space shuttle missions pia