MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi.
Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk.
Kwa umafia wa kibabe nilijiridhisha pasipo shaka kuwa Kenonke wa Nyamongo alikuwa ni habari nyingine, Jombi anashika namba mbili , Nyokaa alikuwa ni hatari kwa mazingira yake lakini hakuwafikia hawa wawili.
Njia pekee ya kummaliza Kenonke ilibidi jeshi la polisi- liombe msaada kutoka wenzao wa JWTz, pamoja na kupata intelijensia kutoka kwa watu wake wa Katibu.