Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

Zali kama hizo mbona hazikunitokea. Yani huyo boya kenonke ndo anitokee hivyo na maswali yake ya kipumbavu ningemjibu pumba halafu huo mkono ningevyomtembezea
Umsogelee mtu ana cha moto.
 
Umsogelee mtu ana cha moto.
Hizo ndo zangu mkuu ikija issue ya kukabiliana na silaha za moto mimi natisha hata kwenye elite force yetu wananifaham. Unaweza kunifyatulia risasi nikaikwepa yani na bwaka chini kwa chini naibukia kwengine wakati bado unashangaa shangaa naibukia nyuma yako nakukuwasha konzi la hatarii kisogoni na kukunyanganya silaha kiulaini
 
Huyo Mkurya ni mchumba tu.
1. Hakupelekwa Ikulu kuonana na raisi
2. Hakuharibu uhusiano wa kimataifa
3. Hakuisababishia nchi ifutiwe misaada.
 
Hao wote cha mtoto

Kule Mbeya miaka ya 2000 mwanzoni mitaa ya Nonde kuna jamaa alikua anaitwa Kaburi. Mchana anavaa suti kali ila night popote akikukuta akitaka mazaga haongei mara mbili ukizingua unachezea vitasa na kifo. Alikua anajua karate na anajua kutumia silaha.

Inasemekana alimuua mpaka mama yake mzazi, alimtia mimba mke wa mdogo wake na hakuna ndugu aliyeongea chochote. Alikuja kuuwawa na wananchi baada ya kumchoka. Alizikwa mchana, usiku raia wakaenda kufukua kaburi ili kujihakikishia kama amekufa kweli, ilibidi waukate kate vipande vipande mwili wake kwa hofu asije akafufuka akaendeleza balaa lake.
 
Dan

Alikua anaitwa ...ndanje...ni noma huyo mwamba...kama unasikilizaga mchiriku..jaguar music wanamtajaga sana maza ake na ndanje...mama ndanje.
 
Huyo Mkurya ni mchumba tu.
1. Hakupelekwa Ikulu kuonana na raisi
2. Hakuharibu uhusiano wa kimataifa
3. Hakuisababishia nchi ifutiwe misaada.
Bujii...unamjua mwasimba?
Halafu ..unamjua kaka yangu mwamajuja?
Je unamjua Ray alikua stand kuu? Ana tatoo ya mamba imeanzia begani hadi kwenye kiuno mgongoni?

Mwamajuja na jombi ni upepo mmoja,.....
Kuna askari alilishwa mkate mzima na mwingine
Hadi akafa
 
Kwenye hiyo abood alipanda na demu wake mmoja hivi, mkalii sana...totoz ya maana...alikua anashare na brig.general mmoja hiv ambaye alishawah kua C.O wa smh moro......iilikuaga kisanga kimoja hatari sana..kama movie la kihindi vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…