Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

Pale Iringa kulikuwa na mtu anaitwa Mwakipagate ... kuna Likopola Na Nyimbo walioteka Zainab Kitonga enzi za Kamanda Alfred Gewe.
 
Hawa wote mnaowasema walikuwa pumbavu tu hawana msaada wowote kwenye jamii zaidi ya kuumiza raia wema na kutesa watu wema.

Hawa ilikuwa ni watu tunaopaswa kuhakikisha hawatokei tena kwenye jamii yetu na sio kuwasifia na kuwafanya kama watu muhimu.
 
Wee fuatisha mamuvi ya kihindi uje kufa.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Mburahati kulikuwa na mtu wa kuitwa Abdallah kuveta miaka ya tisini
kuveta mzee wa mapanga pia walikuwepo
Masoud Amekuwa Jambazi - Luhanga

Saibagi - Mburahati

Komando Yoso - Mburahati.

King Solomon - Luhanga

Hizi namba nazo zilizingua sana hiyo mitaa . Hapo wote wamekufa kasoro huyo komando Yoso member bado yupo hai nafkir ndiyo maana jina limefichwa.

Wakati tunakua hayo majina lazima uyajue ktk hiyo mitaa.

Kuna movie moja inaitwa Komando Yoso ya Mtitu G inaelezea wahuni na kwa kutumia majina ya wahuni wa zamani wa Mburahati.
 
Wewe movie zitakua zimekuvuruga ubongo..
 

Dah! Mkuu huyo mwamba ni kaka angu jina lake anaitwa Rashid selehe makupa aka NDANJE na alipanda islam cku iyo ilikua mwaka 1999 niko darasa la 4
 
Hakuwa na roho ya huruma, nyokaa ibilisi alimsukuma.

Nimemkumbuka Chindo man kwenye ngoma ya nyokaa
 
Jambazi hafikishi miaka 40 labda astaafu.
Labda jambazi anayenunua behewa moja kwa bilioni mbili na ushee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…