PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani nini cha muhimu,

Mishahara ishapandishwa na kikokotoo kinakaa sawa.

Kudeal na watanzania raha saana
Watanzania wengi ni wajinga huo ndio ukweli,ukimuasha mjinga nawew unakuwa mjinga,muache mjinga akobolewe ili akili imkae sawa,naomba kasi na morali ya kumkoboa mjinga iwe kubwa,akose Hadi pa kupumulia
Maana dunia ni ya wenye nguvu na sio wanyonge
 
Nchi za wenzetu vyama vya wafanyakazi huwa vinaweza kuondoa serikali,ila kwetu vyama vya wafanyakazi ni vijiwe vya kahawa
 
Huongozi wa TUCTA unatakiwa kujiuzuru mara moja, hamna kitu
 
Huyu jamaa ni shoga
 
Nchi za wenzetu vyama vya wafanyakazi huwa vinaweza kuondoa serikali,ila kwetu vyama vya wafanyakazi ni vijiwe vya kahawa
Yaani kwa hapa tulipofikia inakatisha tamaa sana kwani wenye akili wote wanajua usipobiresha maslahi ya wafanyakazi tafsiri yake ni kwamba unahalalisha huduma duni kwa umma!
Sasa hiki chama ambacho badala ya kuibana serikali ili ifikiri zaidi eti wanabweteka mithili ya mtu wa kuhurumiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…