PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
TZ imeingia kwenye rekodi kuwa inchi ya kwanza duniani ambapo wafanyakazi hawana lalamiko hata moja
 
Yuko sawa, wafanyakazi wamechoka na maneno ya kisiasa
 
Ilikuwa zamu ya wafanyakazi kupandushiwa marupurupu maana tunaambiwa kila siku mama kavunja record ya makusanyo as long as kavunja record kwa nn wanaovunjisha hiyo record wasinufaike zaidi
Kuvunja rekodi sio kigezo pekee kina mambo na mengine
 
Hii nchi imelaaniwa kuwa na machawa na vilaza all over na hasa kwenye nafasi zinazohitaji watu wenye akili
 
Wafanyakazi walio chini ya watawala ambao chombo chenu Cha utetezi kimesema hivyo,Kuna haja ya kuendelea kukiamini kuwa chombo chenu mnachokichangia Kwa Makato ya lazima kwenye mishahara yenu!

Utatuzi wa matatizo yenu si haki yenu Tena ni hisani ya mtawala kuwafikiria,ndicho kilichopelekea watawala Kwa awamu iliyopita kutowajali wala kujali Sheria za uajili.

Amkeni,kauli ya chombo chenu ndiyo kauli inayoakisi majibu ya serikali dhidi ya chombo Chao Cha utekelezaji maamuzi mbalimbali Kwa maana ya waalimu,ambao ndiyo wezi namba Moja wa chaguzi zote nchini.

Anayemkingia mwizi kifua naye ni mwizi tu hakuna namna,gharama ya ubaya ulipwa Kwa ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…