Moja ya vitu ninavyovikubali kutoka kwa Nyani Ngabu ni aina yake ya uandishi.
Iwe Kiswahili au Kiingereza jamaa anajitahidi kuandika katika mfumo unaoeleweka, anafuata sheria zote za uandishi kama nukta, vituo vidogo, herufi kubwa na ndogo, etc etc.
Na kwa ufasaha zaidi.
kwa sasa unaishi Tanzania au huko mamtoniMbona tayari ninayo makazi Tanzania...
Hahahahaaaaaaa mkuu umenikumbusha Yule jamaa aliyeenda ukweni akaumwa na Tumbo la kuharisha .
K[emoji3]
Khakhaakhaa haya bana naona unaprefer K tena kubwa lol [emoji23]K[emoji3]
Basi mnaonaje iwe kila Jmosi?
Dah, wazo zuri, lakini inabidi nipate kampani na sapoti ya members wengine manake hii ishu haiwezi kuendeshwa na mtu mmoja,Iko poa sana kwangu sijajua kwa member wengine labda ujaribu kuwauliza ile seriously uanzishe uzi chitchat kujua maoni yao
Cc Smart911
Hahahahah the "K" [emoji12] for kuku[emoji14]Khakhaakhaa haya bana naona unaprefer K tena kubwa lol [emoji23]
That's why I said ask other members.. Anzisha thread kabisa ya kujua maoni yao juu ya hiloDah, wazo zuri, lakini inabidi nipate kampani na sapoti ya members wengine manake hii ishu haiwezi kuendeshwa na mtu mmoja,
kwasasa niko na Daby ...
Just wait chochote kinaweza kutokea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahah the "K" [emoji12] for kuku[emoji14]
Daah...nilisahau aisee.Ila kale ka movie ka 'Coming to America' nako kalikupa mshawasha wa kwenda US Kwingwa....Hahaaaaa
bila shaka wewe ni nyota ya Kenge,i mean cancer zodiac. june to july?
1. Ulimwambia nini au ulimuudhi nini mpaka akakupiga?
2. Una mpango wa kuwa na mtoto/watoto zaidi?
Napenda K.
1. Kwanini unapenda kuongea american slang?
2. Una hofu ya nini katika maisha?
kwa sasa unaishi Tanzania au huko mamtoni