Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Moja ya vitu ninavyovikubali kutoka kwa Nyani Ngabu ni aina yake ya uandishi.

Iwe Kiswahili au Kiingereza jamaa anajitahidi kuandika katika mfumo unaoeleweka, anafuata sheria zote za uandishi kama nukta, vituo vidogo, herufi kubwa na ndogo, etc etc.

Na kwa ufasaha zaidi.
 
Nilitaka nimuulize swali Nyani Ngabu lakini kwa vile CAVS wameanza vibaya, nimegairi!
 
STUNTER fanya program ya interview kila specific day buana iwe kama ratiba fulani hivi kila wiki kwa kubadilisha wakaangwa

Naona Lara 1 alishastaafu kitambo Kiwatengu nae sijui ilikuaje nowdays na naa naa yule nanilihiu nae sijui namna gani tena

[HASHTAG]#Nimaonitu[/HASHTAG]

Cc Smart911
Basi mnaonaje iwe kila Jmosi?
 
Iko poa sana kwangu sijajua kwa member wengine labda ujaribu kuwauliza ile seriously uanzishe uzi chitchat kujua maoni yao

Cc Smart911
Dah, wazo zuri, lakini inabidi nipate kampani na sapoti ya members wengine manake hii ishu haiwezi kuendeshwa na mtu mmoja,
kwasasa niko na Daby ...
Just wait chochote kinaweza kutokea
 
Dah, wazo zuri, lakini inabidi nipate kampani na sapoti ya members wengine manake hii ishu haiwezi kuendeshwa na mtu mmoja,
kwasasa niko na Daby ...
Just wait chochote kinaweza kutokea
That's why I said ask other members.. Anzisha thread kabisa ya kujua maoni yao juu ya hilo

nikimaanisha hivo Uvosema
 
1. Kwanini unapenda kuongea american slang?

Hmm...huwa napenda kuongea 'american slang'?

Nilikuwa silijuui hilo.

Labda ni kwa vile naishi 'America'.

2. Una hofu ya nini katika maisha?

Kufa kabla Kisura wangu hajaanza kujitegemea mwenyewe maana huwezi jua utamwacha na watu wa aina gani...
 
Back
Top Bottom