Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
Nyani alishawahi kusema anakaa neighbourhood moja na Usher Raymonds, yani kila asubuhi Nyani akiwa anaenda kazini huwa anamuona Usher akiwa jogging.. Kwa hayo tu naamini hakuna binti yeyote humu JF mwenye kiburi cha kumkataa Nyani.. Kama yupo basi aseme hapa na mimi nitampa Nyani kazi ya kumprove wrong huyo binti.

Mimi.
 
Mkuu aisee wewe TISS

Mkuu tafadhali sana nakuomba usirudie tena kunihusisha na hiyo kitu ya TISS kwani sihusiki nayo kwa namna yoyote ile. Tubaki tu na mambo yetu haya haya ya Liverpool FC yetu na mengineyo ya Kijamii na Utani ila tuiache hiyo Taasisi na Majukumu yake. Narudia tena kusisitiza na nimekuwa nikilirudia kulisema hili on and on na sijui kwanini baadhi yenu mnapenda kunihusisha nayo ama direct or indirect wakati ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa Mimi siyo mmoja Wao na haitokuja hata siku moja ikatokea nikawa miongoni mwao na bahati nzuri hata characters zangu GENTAMYCINE tayari zinanifanya nisiwe na Sifa ( Qualifications ) za kuwa Mtendaji wao.

Natumaini kwa ufafanuzi huu Kuntu kabisa Wewe na wengine wote waliokuwa na hisia kama zako sasa mtakuwa mmenielewa. Tugange yajayo Mkuu wangu. Niambie Liverpool baada ya leo tunategemea kucheza na nani Mkuu? Hivi mechi zetu zile za UEFA tunazianza lini Mdau wangu?
 
Mkuu usihofu tupo wote Liverpool na Simba najua haya mambo ya kunogesha jamvi lakini mambo mengi uko sahihi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom