mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nyani ngabu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani alishawahi kusema anakaa neighbourhood moja na Usher Raymonds, yani kila asubuhi Nyani akiwa anaenda kazini huwa anamuona Usher akiwa jogging.. Kwa hayo tu naamini hakuna binti yeyote humu JF mwenye kiburi cha kumkataa Nyani.. Kama yupo basi aseme hapa na mimi nitampa Nyani kazi ya kumprove wrong huyo binti.
Naona sasa hv moto forex umepoa baada ya wahanga wa forex kuleta mrejesho wakupewa za uso.
Ahaahha now labda atumie tunguli wabongo washemsomea ramani.Yule mpiga madili nae kapoa lazima wafuasi nao wapoe. Itakuwa anaandaa bomu lingine kali kabisa.
aiseeeeSawa boss.. Msalimie Ontario
Mkuu ulipotea JF kama weeks 2 iviYule mpiga madili nae kapoa lazima wafuasi nao wapoe. Itakuwa anaandaa bomu lingine kali kabisa.
Mkuu aisee wewe TISS
Mkuu usihofu tupo wote Liverpool na Simba najua haya mambo ya kunogesha jamvi lakini mambo mengi uko sahihiMkuu tafadhali sana nakuomba usirudie tena kunihusisha na hiyo kitu ya TISS kwani sihusiki nayo kwa namna yoyote ile. Tubaki tu na mambo yetu haya haya ya Liverpool FC yetu na mengineyo ya Kijamii na Utani ila tuiache hiyo Taasisi na Majukumu yake. Narudia tena kusisitiza na nimekuwa nikilirudia kulisema hili on and on na sijui kwanini baadhi yenu mnapenda kunihusisha nayo ama direct or indirect wakati ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa Mimi siyo mmoja Wao na haitokuja hata siku moja ikatokea nikawa miongoni mwao na bahati nzuri hata characters zangu GENTAMYCINE tayari zinanifanya nisiwe na Sifa ( Qualifications ) za kuwa Mtendaji wao.
Natumaini kwa ufafanuzi huu Kuntu kabisa Wewe na wengine wote waliokuwa na hisia kama zako sasa mtakuwa mmenielewa. Tugange yajayo Mkuu wangu. Niambie Liverpool baada ya leo tunategemea kucheza na nani Mkuu? Hivi mechi zetu zile za UEFA tunazianza lini Mdau wangu?
Mkuu ulipotea JF kama weeks 2 ivi
Ahaahha now labda atumie tunguli wabongo washemsomea ramani.
Who is that dude?
Near to Sauna Hospital..............Mkuu we unakaa neighbourhood moja na nani? Kobe Bryant au
Me nletee sangara,japo sikuagwa[emoji18]Inna kaniagizia sato nikirudi kutoka huku kwetu Mwanza. Ww hutaki?
Me nletee sangara,japo sikuagwa[emoji18]
Ila mwanaume kukaa kuanza kumsifiasifia mwanaume mwenzako inaleta ukakasi kidogo