Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Usipende kurukia vitu juu juu!
Fuatilia vizuri posts zangu zote
 
Mkuu katika siasa timing ni muhimu. Kama hii ya Kainerugaba ni timing wala haina shida ndio siasa zenyewe hizo
Ndo manake, sasa subiri usikie Mkapa atakavyochanwa na yeye...... ila nimeona media pekee iliyoenda kwa Msemakweli ni ITV tu sielewi TBC na wengine hawakuitwa?
 
Heri tuhuma hizi zimfikie RA kabla hajaenda kumfanyia kampeni mgombea ubunge wa Igunga ili ajione jinsi alivyo fisadi aone aibu kusimama jukwaani.
 
Hakuna jipya hapa, hizi ni kampeni za Igunga zimeanza kwa staili ya MAJITAKA.
Sishangai.....ndivyo CDM walivyo. Lakini hamna madhara, wataishia kuwa chama cha WANUNG'UNIKAJI'.
 
There are currently 300 users browsing this thread. (88 members and 212 guests)


Hapo kwenye red hao 212 lazima ROSTAM na MANJI watakuwa wanakula info kupitia JF
 
Okay,,so pesa hazijaibwa BoT??na kagoda haijachukua???
Hakuna jipya hapa, hizi ni kampeni za Igunga zimeanza kwa staili ya MAJITAKA.<br />
Sishangai.....ndivyo CDM walivyo. Lakini hamna madhara, wataishia kuwa chama cha WANUNG'UNIKAJI'.
 
Mtei na Rostam
Source: Gazeti Mwananchi
 
watu aina ya msema kweli ndo tunawataka
 

Hiyo ndiyo siasa yenyewe. Mbona CCM waliibua UCHUMBA wa Mzee Slaa kabla kidogo tu ya wananchi kwenda kupiga kura? Siasa ni vita isiyokuwa na macho lakini pia haina silaha za moto!!
 
Natetemeka uwiii.wageni wanatumaliza.wanakula fedha kulilo cc wazawa
 
Bold sentence na kwa nini isiwe issue wakati watu wameiba fedha za watu? Kun namna hapa,
 
kuna watanzania wazalendo katika nchi hii. msemakweli ameonyesha njia, watanzania tumuunge mkono! hongera msemakweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…