Kama ishu ya kagoda inafahamika na kila mtu kwa nini basi uwe na wasiwasi kuletwa wakati huu?Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini hii habari ije wakati huu?
Kuna ajenda gani?
Ukifuatilia posts zangu, hamna sehemu yoyote nimeitetea CCM.
Ishu ya Kagoda kila mtu anaifahamu, imekuwa masikioni kwetu kwa miaka sasa! Hakukuwa na sababu yoyote ya kuifanya big deal.
moderators did the needful on himmkuu huyu ms kapotelea wapi?
There are currently 300 users browsing this thread. (88 members and 212 guests)
Hapo kwenye red hao 212 lazima ROSTAM na MANJI watakuwa wanakula info kupitia JF
Ameanzisha anataka mseme kisha aje kumaliziaNa Fisadi Kikwete, Lowassa na Mafisadi wengine atakuwa anachungulia nje ya uwanja, Mzee Mwanakijiji yupo kama hayupo unahitajika hapa kutoa maoni yako
moderators did the needful on him
Ha ha ni kweli CCM haihusiki kwa vile pesa hizi ziliibwa Bank of Kenya chini ya ODM party, just thinking aloud.Lakini Rejao naona hii taarifa imeitakasa CCM na hata Rostam mwenyewe ametakaswa kwa kuwa hakuna mahala ambapo anaonekana kwamba ni mwanzilishi wala mmiliki wa kagoda. Wacha wakamatwe hao akina Kato na Tabu na hata huyo mwanasheria Sanze.
Ha ha ni kweli CCM haihusiki kwa vile pesa hizi ziliibwa Bank of Kenya chini ya ODM party, just thinking aloud.
Ameanzisha anataka mseme kisha aje kumalizia
Hawa wakurugenzi wanajulikana na mawakili wao pia ni maarufu hapa mjini,kwa nini hawakamatwi na kufikishwa mahakamani, badala ya kusema KAGODA HAWAJULIKANI, ilimradi watu wanawajua nivizuri mkurugenzi wa mashitaka na serikali kwa ujumla wonyeshwe ili wakamatwe.
Baada ya hapo najua mengi yatafahamika.
Wataishia kuwa chama cha wanung'unikaji kama waislamu(by JK).Hakuna jipya hapa, hizi ni kampeni za Igunga zimeanza kwa staili ya MAJITAKA.
Sishangai.....ndivyo CDM walivyo. Lakini hamna madhara, wataishia kuwa chama cha WANUNG'UNIKAJI'.
<br />Mimi ni mwanaharakati na pia ni mwanasheria - Msemakweli