Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

Ukipata nijuze
 
Sasa si ungemuuliza huyo dada akutajie! Lakini anyway jaribu kufika TAESA nenda na vyeti na kopi zako watakusajili then utasubiria call au text siku ikifika ya training then utafanya interview.
 
ulisaidia sana asee
 
nakubali aises
 
thank you
 
Mungu akubariki
 
Sijawahi kuandika barua ya kazi au kuomba kazi zaidi ya kuandika uzi hapa jf kuwa nilimaliza degree ya Procurement ivyo natafuta connection.

Hivi wakuu nauliza hizo mambo za kuandika barua sina mzuka nazo kabisa. Mimi nataka nichukue ela zao waajiri kwenye biashara na sio mishahara.
 
Nauliza

Refferes wanaohitajika wakati wa kutuma maombi ya kazi hasa serikalini ni akina nani.?
 
Naombeni msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kufuta saved academic qualification kama unataka ubadilishe kwenye acount ya ajira portal
 
NAUZA BIASHARA YA CAR WASH:

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
NAMBA YA SIMU: 0717 26 33 77

MAELEZO:

MACHINE ZOTE, UJENZI, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k JUMLA: TZS 7,000,000
NIMEBAHATIKA KUPATA KAZI SERIKALINI NA KITUO CHANGU KIKO MKOANI, SO NIMEAMUA KUUZA HII BIASHARA.
 
Naombeni msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kufuta saved academic qualification kama unataka ubadilishe kwenye acount ya ajira portal
Hili hta Mimi linanipa shida nilishindwa nasubiri majibu ili na Mimi linisaidie
 
Habari Mkuu Uliyeomba msaada. Hebu tembelea uzi huu hapa chini kupata dondoo fulani kuhusu mambo ya kuandika CV/RESUME, COVER LETTER, etc. Cha kufanya wewe "Just Click the Thread" au kopi na kupasti tu. Utapata maelezo mazuri na zaidi ya hapo utaona e-mail ya mtu ambaye anafanya kazi hizi kwa malipo nafuu sana.

Yaani TZS 5000 (Elfu tano) kwa package moja yenye barua na CV hapo hapo. Kizuri zaidi ni kuwa mtaongea naye kwa simu na kisha atakuuliza taarifa zako muhimu zinazohitajika katika hizo nyaraka zako. Na atakutumia vyote hivyo ili wewe utume kokote utakako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…