Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

Jidanganye
Mbona serikali za dunia zikiamua utaanza kutoa mlio
Kiufupi ni kuwa hii taarifa kama n kweli ni doa kubwa kwa taifa letu
Nenda kasome kwanza nyaraka za Epstein, acha kuandika hisia (assumptions)
 
Huyo Kaitlan nioja kati ya watu ambao trump hawapendi duniani huwa anampelekea moto Trump vibaya mno babu Trump akimuona tu anajua Leo kazi ipo
Nimecheka hapo alipomwambia nimekujua kwa miaka 10 sasa sijawahi kukuona ukitabasamu, yaan anaulizwa maswali sensitive yeye anaangalia tabasamu, kiufupi haipendi CNN yote anasema inatoa habari za uongo
 
Muhamad alioa mtoto wa Miaka 6.
 
Hamna implication yeyote, sema nyie msiompenda Samia mnashabikia kila shombo inayoelekezwa kwa Tanzania, as if nyinyi ni raia wa Msumbiji au Angola

Sasa umpende Samia kwani mama ako? Makahaba hupendana wenyewe kwa wenyewe. Hata kama wanafanya ukahaba.
 
Noma sana
 
Kwenye Epstein files, Bill Gates amekutwa humo kuwa alimpa mke wake Gono kutokana na vimalaya vya Epstein huku akimuomba Epstein amtumue dawa ya kutibu Gono
😁😁😁
 
So kubaka watoto wa miaka 6 wanaona Raha Gani !?
 
Nasikia Jay-Z anahusika na hayo mambo hata Niki Minaj juzi kati katoka kumlipua Twitter
 
Kwa mantiki hio hata Mimi na wewe ni zao la huo uchafu, hoja ya kipuuzi kabisa umejibu.

MTU mzima akivuliwa nguo huchutama, anyways endelea kueneza chuki zako. Sisi wengine wacha tukae pembeni.
Sasa wewe hapa bado unatafuta kitu gani, wakati nimekwishakueleza hata 'Mwajuma' mwenyewe anaona aibu kuwa na baba kama wewe ambaye kichwani hakuna kitu kabisa!

Kama mimi na wewe ni uzao huo, kama alivyo Samia, hiyo ndiyo iwe sababu ya mimi kuwa vilaza kama wewe na Samia? Mimi simo kwenye kundi hilo la waovu, ndiyo sababu sikubaliani na nyinyi.
Sasa kama hutambui mantiki hiyo, unataka nini wewe toka kwangu!

WaTanzania wote wasiokubali matendo yenu maovu ni lazima wawapinge.
 
Nasikia Jay-Z anahusika na hayo mambo hata Niki Minaj juzi kati katoka kumlipua Twitter
Umemtoa ja Jay Z….
Kuna email toka kwa James “Jes” Staley kwenda kwa Epstein inamtaja Jay Z.
Hii email ina unyama sana, ni mistari miwili tu, lakini ujumbe wake ni mzito mno. Yaani Gen X na older millennials wote waliozibukia hip pop na kuipa shavu, ni kama vile waliingizwa forced king!

Hatari sana….!
 

Attachments

  • b3654724-15eb-4b24-b14d-fd087ac69f46.jpeg
    128.9 KB · Views: 16
Jay-Z he's a demon
 
Hicho kisiwa sio powa aisee inafaa pale uchunguzi ufanyike kwanza kuna ulinzi sana pale bila shaka kuna vitu haramu vinafanyika sana mule
 
Hicho kisiwa sio powa aisee inafaa pale uchunguzi ufanyike kwanza kuna ulinzi sana pale bila shaka kuna vitu haramu vinafanyika sana mule
Visiwa vya starehe vipo vingi hata kwetu Kigamboni nasikia kuna visiwa watu hua wanaenda kwa mialiko rasmi kufanya starehe tu, kama huna connection huwezi jua, ila hicho cha Mnemba kimetajwa sababu ya mmiliki wake kua na ukaribu na huyo jamaa....

Ref: Mbudya na Bongoyo ila hivyo ni public
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…