Nyerere alifanya nini kwenye ardhi ya Tanzania?

Kremlin ilikataa kuwa Putin hajawahi kufanya mission yoyote Africa na kipindi hicho wanachosema alikuwa chuo kikuu yule jamaa wanafanana tu hat hivyo walisema putini huwa havai saa mkono wa kulia kama yule bwege

USSR
 
Hii nchi ni nzuri sana ila tulianza potea uelekeo awamu ya pili.

Toka pale mpaka sasa hatujakaa sawa.

Awamu ya tano tulikua tunaanza kurejea kwenye misingi yetu ila safari ikakatishwa ghafla.
Awamu ya Tano ilikuwa inaitoa Tanzania kwenye ramani ya dunia hivyo Tanzania kingebaki kisiwa kisichojulikana.
 
Nimeipenda hii ila kitu kimoja tu kidogo hujata nchi zao
 
17 sijaelewa wa 1 kenya wa 8 duniani🤔🤔🤔🤔🤔
 
Nilisikia ex PM wa UK Brown alikaa Mufindi Tea Estate
 
Hujamuweka Dikteta Pierre Nkurunzinza ameishi hapo Dar alikua akifahamika kama Peter Mrundi.
 
Awamu ya Tano ilikuwa inaitoa Tanzania kwenye ramani ya dunia hivyo Tanzania kingebaki kisiwa kisichojulikana.
South Africa developed within 15 years [since 1974's till 1989] to a major role player in the world even under the fiercest embargo ever placed upon a country. It was like an Island [neglected by the world].
 
Hii nchi ni nzuri sana ila tulianza potea uelekeo awamu ya pili.

Toka pale mpaka sasa hatujakaa sawa.

Awamu ya tano tulikua tunaanza kurejea kwenye misingi yetu ila safari ikakatishwa ghafla.

Huyo aliyetoa wakina Makonda na Sabaya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…