Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwaandaa ila hakuwapa nafasi.Mwalimu sijui kwanini hakuandaa hata damu yake moja iwe kama yy
Hapa ndipo kwenye tatizo.Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais?
1. Samora Machel alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
2. Chisano alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
3. Filipe Nyusi alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
4. Nelson Mandela alipotoka Tz kurudi kwao akaenda jela na baada ya jela akawa rais.
5. Thabo Mbeki alipotoka Tz kurudi kwao akapata sifa za kuwa rais na akawa rais baada ya Madiba.
6. Sam Nujoma alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. Nujoma alitoroka Wakoloni Namibia akatembea kwa Punda porini kukwepa kukamatwa; kwa miezi mitatu hadi Tz ndipo Mwl akampa pasi na tiketi ya ndege kwenda kuhutubia UN kudai uhuru.
7. Frederick Chiluba alipotoka kukata katani Tanga na kurudi kwao akawa rais.
8. Bingu Wa Mutahrika Sn alipotoka Tz kurudi kwao akajipatia sifa za kuwa rais na akawa rais.
9. Wa Mutharika Jr alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya kaka yake.
10. Laurent Desire Kabila alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
11. Joseph Kabila alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya namba 10 hapo juu.
12. John Garang alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya kuipigania utaifa wao kutoka Sudan.
13. Idd Amin alipotoka Tz kurudi kwao akapindua serikali akawa rais.
14. Milton Obote alipotoka Tz (baada ya kupinduliwa na Idd Amin) kurudi kwao akawa rais.
15. Mnangagwa alipotoka Tz kurudi kwao akaingia kwenye safu ya wanaostahili kuwa rais na akaja kuwa rais.
16. Yoweri Museveni alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
17. Raila Odinga alipotoka Tz kurudi kwao sasa Agosti 19, 2022 anakuwa rais wa 5, mjaluo wa 1 Kenya na wa 8 duniani kuwa rais. Raila alikuwa Mhadhiri wa Kitivo cha Uhandisi UDSM, mwaka 1980 baada ya vuguvugu la MWAKENYA lililotuhumiwa kutaka kumpindua Moi pasi yake ilifutwa, Mwl Nyerere alimpa pasi (kama ilivyokuwa kwa Mbeki na Nujoma) ya kwenda Norway ili serikali ya Norway imuombee pasi ya UN ya kwenda popote duniani isipokuwa Kenya.
18. Vladimir Vladimirovich Putin alikuja Tz (Bagamoyo) akiwa na umri wa miaka 21 na kuondoka akiwa na umri wa miaka 25. Amekuja kuwa rais wa nchi yake mara mbili na katikati ya vipindi hivyo amekuwa Waziri Mkuu.
Nadhani tumekosea kama nchi kuto-document hii kama historia jadidi ambayo ingeuza nchi yetu kidiplomasia, ki-utalii wa kitafiti nk nk. Hii siyo historia ya kupuuzwa hata kidogo. Ingetupa heshima Watz kila tukanyagapo duniani.
Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais?
View attachment 2189422
Taswira kwa hisani ya google.
Nikweli wazanzibari wana ilawiti nchi na kuifirauni
Douglas Majwala eti Raila Odinga alikuwa mhadhiri UDSM? Hebu weka evidence. Isije ikawa unavuta bangi kali huku.
huwezi kupata heshima kwa kufanya mambo kama haya.heshima ya dunia ni kuwa na uchumi mzuri halafu rafiki wa EU na USA. halafu hapa africa heshima ipo ktk kucheza Afcon na world cup. sifa hizi utapendwa duniani kote.Nadhani tumekosea kama nchi kuto-document hii kama historia jadidi ambayo ingeuza nchi yetu kidiplomasia, ki-utalii wa kitafiti nk nk. Hii siyo historia ya kupuuzwa hata kidogo. Ingetupatia heshima Watz kila tukanyagapo duniani.
Nadhani tumekosea kama nchi kuto-document hii kama historia jadidi ambayo ingeuza nchi yetu kidiplomasia, ki-utalii wa kitafiti nk nk. Hii siyo historia ya kupuuzwa hata kidogo. Ingetupatia heshima Watz kila tukanyagapo duniani.
Hayati Mwalimu alikuwa ni kisima cha maarifa na werevu yaani intellect and Intelligence.Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais?
1. Samora Machel alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
2. Chisano alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
3. Filipe Nyusi alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
4. Nelson Mandela alipotoka Tz kurudi kwao akaenda jela na baada ya jela akawa rais.
5. Thabo Mbeki alipotoka Tz kurudi kwao akapata sifa za kuwa rais na akawa rais baada ya Madiba.
6. Sam Nujoma alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. Nujoma alitoroka Wakoloni Namibia akatembea kwa Punda porini kukwepa kukamatwa; kwa miezi mitatu hadi Tz ndipo Mwl akampa pasi na tiketi ya ndege kwenda kuhutubia UN kudai uhuru.
7. Frederick Chiluba alipotoka kukata katani Tanga na kurudi kwao akawa rais.
8. Bingu Wa Mutahrika Sn alipotoka Tz kurudi kwao akajipatia sifa za kuwa rais na akawa rais.
9. Wa Mutharika Jr alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya kaka yake.
10. Laurent Desire Kabila alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
11. Joseph Kabila alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya namba 10 hapo juu.
12. John Garang alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya kuipigania utaifa wao kutoka Sudan.
13. Idd Amin alipotoka Tz kurudi kwao akapindua serikali akawa rais.
14. Milton Obote alipotoka Tz (baada ya kupinduliwa na Idd Amin) kurudi kwao akawa rais.
15. Mnangagwa alipotoka Tz kurudi kwao akaingia kwenye safu ya wanaostahili kuwa rais na akaja kuwa rais.
16. Yoweri Museveni alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
17. Raila Odinga alipotoka Tz kurudi kwao sasa Agosti 19, 2022 anakuwa rais wa 5, mjaluo wa 1 Kenya na wa 8 duniani kuwa rais. Raila alikuwa Mhadhiri wa Kitivo cha Uhandisi UDSM, mwaka 1980 baada ya vuguvugu la MWAKENYA lililotuhumiwa kutaka kumpindua Moi pasi yake ilifutwa, Mwl Nyerere alimpa pasi (kama ilivyokuwa kwa Mbeki na Nujoma) ya kwenda Norway ili serikali ya Norway imuombee pasi ya UN ya kwenda popote duniani isipokuwa Kenya.
18. Vladimir Vladimirovich Putin alikuja Tz (Bagamoyo) akiwa na umri wa miaka 21 na kuondoka akiwa na umri wa miaka 25. Amekuja kuwa rais wa nchi yake mara mbili na katikati ya vipindi hivyo amekuwa Waziri Mkuu.
Nadhani tumekosea kama nchi kuto-document hii kama historia jadidi ambayo ingeuza nchi yetu kidiplomasia, ki-utalii wa kitafiti nk nk. Hii siyo historia ya kupuuzwa hata kidogo. Ingetupa heshima Watz kila tukanyagapo duniani.
Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais?
View attachment 2189422
Taswira kwa hisani ya google.
Wewe umeona Raila odinga tu .Douglas Majwala eti Raila Odinga alikuwa mhadhiri UDSM? Hebu weka evidence. Isije ikawa unavuta bangi kali huku.
Na bila nyerere kuilinda zanzibar kipindi kile mjue mngekuwa kama somalia kwa machafuko waarabu walijiapiza kuvamia tena zanzibar chini ya sultanBila ya huyo baba yenu Nyerere kuvamia Zanzibar mwaka 1964, Wanzanzibari wasingewasumbua leo kama mnavyopiga kelele. Baba yenu Nyerere kawaingiza mkengeni.
Na pia ukiwa na mapesa mengi hata kama yametokana na kazi chafu chafu !!huwezi kupata heshima kwa kufanya mambo kama haya.heshima ya dunia ni kuwa na uchumi mzuri halafu rafiki wa EU na USA. halafu hapa africa heshima ipo ktk kucheza Afcon na world cup. sifa hizi utapendwa duniani kote.
Afadhali hata Waarabu wangeleta maendeleo kuliko nyie mnaomwaga damu za Wazanzibari tangu 1964 na kuzidisha umaskini.Na bila nyerere kuilinda zanzibar kipindi kile mjue mngekuwa kama somalia kwa machafuko waarabu walijiapiza kuvamia tena zanzibar chini ya sultan
At that time South Africa was Independent or was under control(colonized by) of Boers??? Facts of Independet countries which their leaders were discriminatory and developed at high level please mention.South Africa developed within 15 years [since 1974's till 1989] to a major role player in the world even under the fiercest embargo ever placed upon a country. It was like an Island [neglected by the world].
Umezaliwa mwaka gani wewe, isije kuwa unatupotezea muda kwa kubishana na rika/umri wako.Douglas Majwala eti Raila Odinga alikuwa mhadhiri UDSM? Hebu weka evidence. Isije ikawa unavuta bangi kali huku.
Tupe ukweli wako wa kuthibitisha kwamba viongozi wote hao hawajaishi Tz kwa nyakati tofauti katika harakati zao za kusaka ama uhuru, ukombozi au madaraka ya nchi zao. Shida asilimia kubwa ya Wana-JF wamezaliwa AC (After Computers) na siyo BC (Before Computers) na bahati mbaya kwao ni kwamba historia sahihi ya nchi yetu haijaandikwa/haijawadocumented inavyostahili (mambo mengi yameachwa nje).Uzi wako ni uongo kwa asilimia 70
Mwanafalsafa wa Kigiriki Aristotle alitafsiri viongozi kama ni wezi, wala rushwa na wababaishaji.Hayati Mwalimu alikuwa ni kisima cha maarifa na werevu yaani intellect and Intelligence.
Hao wote ulowataja walikuwa ni watu wenye haiba na sifa hizo.
Kwa watanzania wapo wachache ambao kwa sasa wamezibwa - Bashiru Ally, Humphrey Polepole, wazee Issa Shivji na Jenerali Ulimwengu (mwalimu alimpa kazi Algeria kwa miaka mingi), Kanali Simbakalila na mzee Butiku ambae kwa sasa aongea kwa "handbrake".
Mawazo ya Mwalimu yana wafuasi wake na hao nilowataja ni mfano mdogo tu Humphrey Polepole ameleta shule ya uongozi amepigwa full stop.
Leo hii watu wanapiga milioni 600 kujenga bwawa hewa ndo waonekana watu wa maana, hakuna uwajibikaji.
Ungeweka evidence sio kudanganya watu humuUmezaliwa mwaka gani wewe, isije kuwa unatupotezea muda kwa kubishana na rika/umri wako.