Nyerere alifanya nini kwenye ardhi ya Tanzania?

Raila Odinga alipotoka Tz kurudi kwao sasa Agosti 19, 2022 anakuwa rais wa 5, mjaluo wa 1 Kenya na wa 8 duniani kuwa rais. Raila alikuwa Mhadhiri wa Kitivo



Nitajie wajaruo wengine 5 ukimuacha Obama na Salva Kiir waliowahi kuw marais .
Usinitajie wanigeria maana siyo waluo japo ni nilotic
 
Akili za kitumwa huwezi kuwa hustler unaandika mada kama hizi
 
Tanzania ina utaalamu mkubwa wa wizi wa kura na kufanya zuga-zuga za kuwa raisi kwa njia za short cut. That will be my guess 😉
 
Wale wa Nigeria ni Waluo waliopelekwa kule kwa njia ya biashara ya watumwa. (wa Owu wa Yoruba Obasanjo na wale wa Igbo kama Odumegwu Ojukwu)

Sudan yuko John Garang na Uganda wapo Obote (M-lang'o, Tito Okello ni M-Achol na Idd Amin M-Kakwa) Idd Amin babake alikuwa anaitwa Oumee lakini akafa kabla hajamzaa Idd ambaye mamake akarithiwa na Nyabire na kumzaa Idd Amin.
 
Hii nchi ni nzuri sana ila tulianza potea uelekeo awamu ya pili.

Toka pale mpaka sasa hatujakaa sawa.

Awamu ya tano tulikua tunaanza kurejea kwenye misingi yetu ila safari ikakatishwa ghafla.
Nikuombe mkuu 'stroke' uangazie huko ndani ya CCM au hata nje ya chama hicho utueleze kwa maoni yako ni nani anayeweza kutupeleka kwenye mwelekeo unaouona hapo kwenye maoni yako kwa sasa.

Kwani kuna ubaya gani wa kutaja watu, angalao tuwapime?

Au tubaki tu na kubahatisha kwa hisani ya NEC ya CCM?
 
Hii mbona sijawahi kuisikia. Wewe umeiokota wapi?
Nadhani tatizo ni rika na serikali kutodocument mambo haya kwa ajili ya kurithisha vizazi kwa njia ya kitaaluma. Idd Amin alichukuwa mafunzo ya juu ya kijeshi Lugalo na aliishi Makongo Juu. Alikuja Tz baada ya kushindwa kusoma Royal Military Academy Sandhurst, Camberley, United Kingdom kwa kukosa weledi wa lugha ya Kiingereza.
 
Ahsante mkuu Douglas Majwala, kwa kuniweka sawa.
Hapana, tatizo si 'rika', bali hilo la "kudocument mambo".
 
Ahsante mkuu Douglas Majwala, kwa kuniweka sawa.
Hapana, tatizo si 'rika', bali hilo la "kudocument mambo".
Mkuu,

Nchi hii ina urithi mkubwa wa Kihistoria kuliko hata vivutio vya utalii lakini hakuna anayehangaika kuvitafiti na kuvidocument.

Tunahitaji kuandika historia ya nchi hii upya kabisa, TUACHE SIASA ZA KUPINDUANA MAWAZO katika hili.

Mmoja akianza kuonyesha njia tufuate, tusiachane na wazo lake la kufanya mapinduzi haya ya msingi sana katika historia ya nchi yetu.

Siku akitokea Mzungu kutuandikia historia hii ya nchi yetu kwa upya (hata kama siyo kwa usahihi) utaona taifa linamsikiliza na kutekeleza mawazo yake kwa gharama yoyote.

TUMEGENISHA UWEZO WETU WA KUFIKIRI.
 
Hiyo picha inakueleza kila kitu kama Unaweza kusoma body language !! Unaweza kujua alikuwa ni MTU wa aina gani !
 
Hiyo picha inakueleza kila kitu kama Unaweza kusoma body language !! Unaweza kujua alikuwa ni MTU wa aina gani !
Kwa kutumia nguvu ya haiba yake hiyo alifanikiwa kuwalazimisha Wazungu kule UN (yeye akiwa ni mweusi tu) waiingize China kwenye Veto Power baada ya mataifa makubwa ya Magharibi na Ulaya kuigomea China kwa madai ya Ukomunisti wake.
 
Hii nchi ni nzuri sana ila tulianza potea uelekeo awamu ya pili.

Toka pale mpaka sasa hatujakaa sawa.

Awamu ya tano tulikua tunaanza kurejea kwenye misingi yetu ila safari ikakatishwa ghafla.
Nikweli wazanzibari wana ilawiti nchi na kuifirauni
 
Wote hao! Kumbe Tz ni kitovu cha ukombozi katika Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,

Mwl ndiye aliishawishi Jumuiya ya Madola na UN kuiwekea vikwazo serikali ya makaburu Afrika Kusini na mpango wake ukafanikiwa. Alikuwa na nguvu ya ushawishi. Rekodi yake duniani haijavunjwa ya kutengeneza Marais wapatao 18 wa nje achilia wale wa ndani.
 
MK254 Tony254 komora096 Nicxie amkeni acheni kulala kibera habari zinawapita huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…