Nyerere alikosea sana alipokumbatia wahindi/warabu na kuwafukuza wazungu

Wote tukae posta au kariakoo patatosha kweli mbona unafikra mfu hivyo, sensa ya mwaka Jana inasema tuko million 5.2 kwa hiyo wote tukakae posta na kariakoo
Si lazima wote tukae kariakoo ama posta bali ni vizuri mtu aishi jirani na eneo analofanya shughuli zake, ili kuokoa muda na gharama.
 
Angekumbatia wangoniii eeh?!?
 
Nimemjibu mtu hapo juu Kwamba wahindi wanapenda kuishi karibu na sehemu z biashara zao ili kuokoa muda na gharama....
Hiyo hoja ya wabongo wako wangapi bombei Wala hainihusu.
Pia Mimi sio gabachori
Umesomeka
 
Mbona kiswahilii chako kama mhindi?
Wahindi si wabinafsi tu bali wabaguzi wa kunuka na kwenye roho nyepesi na wanafiki wa kutupwa, wachafu wale ni binadamu accidentally Mungu anisemehe
Prejudice, Discrimination and Racism against Africans and Siddhis in India - Cambridge Scholars Publishing
 
Hili linafikirisha sana (ni kule mbeya nafikiri unaongelea)
 
Hili linafikirisha sana (ni kule mbeya nafikiri unaongelea)
Halifikirishi chochote. Kuna mjumlisho. Nani anafikiria ngono? Mbona akina Mengi walipenya? Nadhani tatizo la baadhi ya wachangiaji humu ni kutojua hata historia ya taifa lao. Wangejua wahindi walivyoletwa na waingereza na kupewa mamlaka ya kununua mazao ya waafrika kwa bei ya kutupwa na kuuza kwa bei mbaya, wasingeweka huu utopolo utokana na ujinga wa kiwango cha lami.
 
Naongelea chuma na makaa ya mawe aliyosema tumepewa lakini tumeshindwa kuyatumia
 
Wow. I didn't know. Nonetheless, I thank you for standing by your generalization, which is academically toxic.
Hicho kingereza chako cha mkoloni hakibadili kua upo nyuma ya muda,hakuna mji unaoitwa Bombei in India,
Mkikosolewa hua mnakuja na vingereza vyenu vya Shule,sijui hua lengo ni nini hasa!
 
Hicho kingereza chako cha mkoloni hakibadili kua upo nyuma ya muda,hakuna mji unaoitwa Bombei in India,
Mkikosolewa hua mnakuja na vingereza vyenu vya Shule,sijui hua lengo ni nini hasa!
Acha ukumbaff. Nimemjibu aliyeanza na hicho kidhungu. Najua kuwa Bombei hakuna ila nilifanya hivyo makusudi kama nilivyotumia magabacholi kuepuka ban mwanangu. Najua ulikuwa ukiitwa Bombay baadaye Mumbhai mwanangu. Hii ahitaji PhD kwenye rocket science. Au ulitaka nisema Bengaluru na Chenai? Nshafika Mumbhai. Ni jiji chafu hasa hewa hakuna mfano. Acha magabacholi wang'ang'anie Afrika kwenye hewa safi
 
System tokea kipindi Cha wakoloni iliwabeba sana, mpaka sasahivi system inawabeba sana
 
Uzi wa kipuuzi ......
 
Kama sisi tumeshindwa kuzalisha je
Ukisoma hapo utaona taarifa toka Barrick wenyewe kwamba kuna pipe inavuja na wameomba radhi kama kuna tatizo vyanzo vya maji wao watatoa maji safi kwa Wananchi.

Hivyo hawasingiziwi.
 
Mimi ningepitisha utaratibu kwa hao watu wahame downtown nchi nzima waende wakajenge nje ya mji

Ikiwezekana wapewe eneo lao wakajenga huko sio kujazana mjini

Na watakaojenga nje ya mji watapewa favurtism Fulani Fulani za wazi wazi.

Otherwise nawatembezea kibao Cha kimya kimya.

Kama Nampa amri msajili baadhi nyumba zilizochibi yake azigeuze matumizi mengine sio ya makazi

Yaani nitafanya juu chini scarcity ya makazi ya downtown kwao iwe juu. Itawapush wenyewe nje ya mji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…