baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kipindi cha Nyerere watu kibao mali zao zimetaifishwa, kuna Familia nazijua za Kiarabu huku Tanga mali zote zimechukuliwa, Nyumba, Malori etc na wazee wakafungwa kwa uhujumu uchumi, watoto wao wakawa Choka mbaya, ila sasa hivi wajukuu wao wana pesa chafu.System tokea kipindi Cha wakoloni iliwabeba sana, mpaka sasahivi system inawabeba sana
Ujasiriamali ni kitu ambacho kinarithishwa, achana na waarabu na wahindi hapa hapa Tanzania wapo wachaga kama mfumo hao na sasa hivi kidogo wakinga, wamefanikiwa kibiashara, je nao ni system inawabeba? Kwanini mchaga ni rahisi kutoka kibiashara kuliko mgogo ama mmakonde?