Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

MATESO ya hii Katiba wa kulaumiwa ni NYERERE na Karume na wale Wazee 20 jumla Watu 22
Wazee 10 wa Tanganyika wakiongozwa na Mzee Pius Msekwa na Wazee 10 wa Zanzibar Wakiongozwa na Thabit Kombo jumla yao ni Watu 22 walijitengenezea KATIBA kwa Manufaa yao
 
Wapigania uhuru wote walipigania maslai Yao binafsi kwa mgongo wa wengi.
Thus baada ya uhuru wao ndio walionufaika na uhuru.
Wakigeuka wezi wakubwa wa raslimali za nchi na wauaji wakubwa kulinda himaya zao.
Baada ya uhuru wakageuka wakoloni wakubwa
 
Nyerere+Netanyahu na wote wa nyuma yake+Obama+G. bush+Biden+Trump+Tony blair+Macron+Rishi Sunak

Hao wote❌❌❌❌❌❌❌❌
Na kuna wengi tu waliopita na wa sasa
 
Imagine Jpm angekuwa ndio Mpigania uhuru angeitwa majina mazuri lakini je anastahili?
 
SAsa ni miaka zaidi ya 40 hayupo madarakani tumeshindwa nini kuuvunja Muungano?
Mzee hauvunjiki aliacha mizizi mikali sana.

Ukitaka kujua hauwezi kuvunjika naomba ujifunze kile kinachodaiwa kuwa ni Mapinduzi ya Zanzibar.

Namna kilivyotokea nani walikuwa nyuma yake na uje na conclusion kama kweli yalikuwa mapinduzi au La!
 
Na mikataba mibovu ya Sasa anahusikaje yeye?
Aliacha Katiba inayowapa watawala madaraka ya kufanya wanavyotaka bila kuhojiwa (absolute power).

Mikataba mibovu inaandaliwa na serikali na kupitishwa kwa hati za dharura bila kuzingatia maoni ya wakosoaji ndani na nje ya bunge kisha kuidhinishwa na Rais asiyehojiwa na yeyote (Rais mwenye absolute power).

Hadi leo CCM wameng’ang’ania hiyo katiba inayowawezesha kufanya ufisadi na hujuma kibao ikiwa ni pamoja na kutumia mikataba mibovu bila kuhoji wa na kuwajibishwa na wananchi.
 
Mzee hauvunjiki aliacha mizizi mikali sana.

Ukitaka kujua hauwezi kuvunjika naomba ujifunze kile kinachodaiwa kuwa ni Mapinduzi ya Zanzibar.

Namna kilivyotokea nani walikuwa nyuma yake na uje na conclusion kama kweli yalikuwa mapinduzi au La!
Ngoja kizazi kile kipite
 
Mzee hauvunjiki aliacha mizizi mikali sana.

Ukitaka kujua hauwezi kuvunjika naomba ujifunze kile kinachodaiwa kuwa ni Mapinduzi ya Zanzibar.

Namna kilivyotokea nani walikuwa nyuma yake na uje na conclusion kama kweli yalikuwa mapinduzi au La!
Yale ni wazi yalikuwa mapinduzi ya kuondoa utawala dhalimu. Na ndo maana ipo hadi sikukuu. Tuuvunje Muungano.
 
Mjinga ni afadhali maana,ukinielimisha nitaelewa,ILA upumbavu ni cancer, sasa wewe niambie tofauti hiyo ni ipi, au wewe ni mtu wa kuangalia mapicha na TV ukionyeshwa Sandton ILA haujawahi kuingia kwenye zile avenues za Alex,!,Langa, Danoon,
South africa ya apartheid ni bora kuliko hii ya ANC kwenye suala zima la uchumi haihitaji hata kubishana
 
Nyerere mafanikio yake makuu ni kuwaleta watanzania pamoja na kujitahidi kuondoa ukabila.
Kutokuwa mroho wa mali.

Lakini kwenye ishu ya demokrasia, utawala, uongozi bora alifeli.
Foundation nzuri ya nchi alifeli.
Mfumo wake wa kutawala,na mtazamo wake juu ya watu, ulipelekea shida nyingi sana kwa watu.Inawezekana alikuwa na dhamira njema kinadharia na kufikirika zaidi lakini kiukweli hali ilikuwa mbaya sana.
Alikuwa na wasomi wachache lakini hawakujiamini mbele yake maana hakupenda mawazo kinzani.Ukifuatilia,unashindwa kujua uhaini wa watu kama Oscar Kambona hadi kuikimbia nchi. Kwa miaka hii, utawala wake ungetengwa na dunia.
 
Kiongozi mkuu wa kuunganisha Watanganyika alikuwa baba yako?
 
Salute bro. Mmoja ya watu ninaowakubali zaidi katika kuchakata hoja..
 
Bro una elimu kiasi gani? Maana si kwa, ujinga huu ulioandika hapa,
Nyerere unayemzungumzia ni yule aliyeishi miaka ya 60! Au hawa wanaishi Leo 2000+?
Mihukumu MTU kwa muktadha wa wakati alioishi, ukimuhukumu nyerere wa 60 Leo hii? Uta kuwa unachemka, vipi kuhusu nyerere wa Leo, unawasemaje na wanakusrubu na mgao wa umeme!
Bro kukaa chini na kuanzia kulaumu vitu vilivyotokea nusu karne iliyopita! Ni, ujinga,
Ni sawa, na watu weusi,wakishindwa kitu, au maisha Yao magumu, bado wanalaumu wakoloni wa kizungu!
Wake up and smell the coffee bro! Tafuta maisha, kulaumu marehemu haikusaidii
 
Nyerere mafanikio yake makuu ni kuwaleta watanzania pamoja na kujitahidi kuondoa ukabila.
Kutokuwa mroho wa mali.

Lakini kwenye ishu ya demokrasia, utawala, uongozi bora alifeli.
Foundation nzuri ya nchi alifeli.
Hakukna binaadam mkamolofu 100% hilo alofanikiwa kuwa weka wtu pamoja nijambo la msingi zaidi yalobakia nn ss wenyewe kuwa wabinafsi
 
Katiba hii waroho wa madaraka wanaona kikwazo kwao lkn mwenye akili atathmin hizo nchi zilobadilisha katiba hiv karibuni jee kuna utulivu km tz jee uchumi umebadilika na usitawi wa jamii uko tafauti na tz mwenye macho haambiwi tazama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…