Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

waafuasi wa CCM Zanzibar hawafiki hata 10% ya wazanzibari. CCM Zanzibar inategemea kura za wabara wanaoishi kule, na ndio moja ugomvi mkubwa wa wazanzibari na wabara kule visiwani.
 
waafuasi wa CCM Zanzibar hawafiki hata 10% ya wazanzibari. CCM Zanzibar inategemea kura za wabara wanaoishi kule, na ndio moja ugomvi mkubwa wa wazanzibari na wabara kule visiwani.
10% ni significant minority, usiiseme hiyo kama ndogo.

Na kama ni ndogo hivyo, Wazanzibari wanashindwa vipi kuitoa?

Wabara ni nani na Wazanzibari ni nani? Kuna Mzanzibari asiye na mizizi bara?
 
Umoja wa Africa Umeamua kujenga sanamu ya Nyerere na kuiweka pale makao makuu ya Umoja wa Nchi za Afrika !!

Nani mwenye kumjua zaidi Nyerere sisi akina Kalimanzila au Wao ???!!
😅😅🙏🙏🙏
 
10% ni significant minority, usiiseme hiyo kama ndogo.

Na kama ni ndogo hivyo, Wazanzibari wanashindwa vipi kuitoa?

Wabara ni nani na Wazanzibari ni nani? Kuna Mzanzibari asiye na mizizi bara?
ni lini CCM iliwahi shinda uchaguzi Zanzibar?
 
10% ni significant minority, usiiseme hiyo kama ndogo.

Na kama ni ndogo hivyo, Wazanzibari wanashindwa vipi kuitoa?

Wabara ni nani na Wazanzibari ni nani? Kuna Mzanzibari asiye na mizizi bara?

wabara ni kwa maana waliohamia visiwani miaka ya hivi karibuni.

Na Kwa tafsiri yako wabantu wote wanatoka west Africa, vipi unaweza kwenda Gambia ukatamba?
 
Mwanaume ukishaanza uxenge wa kuandika " Buana " hakuna atakae kuchukulia serious
 
😁 Kumbe shida ni hapo kwenye muungano
 
ni lini CCM iliwahi shinda uchaguzi Zanzibar?
Kama haijawahi kushinda uchaguzi, that's even worse.

Kwa nini hao CUF na ACT wanaingia kwenye serikali za umoja wa kitaifa na hao wezi wa CCM?

Huoni kwamba hili tatizo ni zaidi ya Nyerere na CCM?
 
wabara ni kwa maana waliohamia visiwani miaka ya hivi karibuni.

Na Kwa tafsiri yako wabantu wote wanatoka west Africa, vipi unaweza kwenda Gambia ukatamba?
"Hivi karibuni" inaanzia lini?
 
Unajua maana ya ukoloni ???

Unajua gharama ya kuunganisha taifa lenye makabila 125 na kuwafanya waishi pamoja ?

Unajua gharama ya kuanza kuongoza taifa lenye asilimia kubwa ya wasio na elimu hata ya kusoma tu ?

Siku nyingine usiandike mada inakuzidi uwezo wa akili
Utajidhalilisha bure Kama hivi
 
Unajiita southern independence na hujui mchango wa Nyerere kwenye hizo nchi kujipatia uhuru wake
Nenda hizo nchi wakuambie mchango wa Nyerere kuanzia SA

Wewe ni miongoni mwa watanzania mnaotuletea aibu Sana na fikra zenu za kijinga kabisa
 
Alimtawala mamako?
 
Wewe ni mjinga nani alikuambia hilo jina lina maanisha hicho ulichoandika
 
Nyerere mafanikio yake makuu ni kuwaleta watanzania pamoja na kujitahidi kuondoa ukabila.
Kutokuwa mroho wa mali.

Lakini kwenye ishu ya demokrasia, utawala, uongozi bora alifeli.
Foundation nzuri ya nchi alifeli.
Mkuu kipindi hicho kwenye mambo ya demokrasia na uongozi bora, dunia ilikuwa kwenye zama nyingine kabisa. Nadhani zile kambo mbili za Ukomunisti vs Ubepari zilikuwa zina-play part kubwa kwenye uongozi wa nchi za dunia ya tatu. Mimi nadhani ukifananisha Nyerere na marais wengine eg Kenya, Zaire, Malawi, yeye tunaweza kusema kuwa alikuwa mwanademokrasia zaidi.
 
waafuasi wa CCM Zanzibar hawafiki hata 10% ya wazanzibari. CCM Zanzibar inategemea kura za wabara wanaoishi kule, na ndio moja ugomvi mkubwa wa wazanzibari na wabara kule visiwani.
Mimi nina uhakika kabisa kuwa wazanzibar kwa ujamla wao wakiamua kuikataa CCM, hakuna anayeweza kuwalazimisha. Tatizo kuna wengine wanafaidi mfumo uliopo hivyo hawataki mabadiliko. Mtu kama dr Mwinyi anavyofanya ufisadi mkubwa sasa hivi ana kundi kubwa nyuma yake na hata hao ACT Wazalendo nao viongozi wake wanakula kwa ulaini ndiyo maana siku hizi huwezi kuwatenganisha na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…