Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
Lazima alalamikiwe sababu katiba aliyoiacha vijana wake ambao ni wazee sasa bado wanaikumbatia kwa gharama zoteSasa wewe kazi yako ni nini?
Ni kipi kinachokufaidisha; kulalamikia ya Nyerere?
Mtoa mada ameeleza mabadiliko ya katiba ambayo yote yamefanyika huyo nyerere akiwa hai, na kwenye hutoba zake analalamika madaraka ya rais kuwa makubwa and yet hakufanya chochote na alikuwa ana influence ya kufanya mabadiliko.Hzi ni dalili za kukosa cha kuandika mitandaoni; badala yake inabidi uangukie tu kule kule kwenye lawama za kipuuzi.
Unajuwa Nyerere hayupo siku nyingi; hawezi kuja hapa na kueleza ujinga unaoletwa na wapuuzi wanaopenda kupigana mieleka na kivuli chake bila ya mafanikio yoyote.
Ila huna uwezo wa kuwalalamikia hao unaoita vijana wake; wewe akili yako itakuwa imepinda.Lazima alalamikiwe sababu katiba aliyoiacha vijana wake ambao ni wazee sasa bado wanaikumbatia kwa gharama zote
Kama naa yeye alilalamika, kwa nini hukuungana naye katika kuleta hayo mabadilikoMtoa mada ameeleza mabadiliko ya katiba ambayo yote yamefanyika huyo nyerere akiwa hai, na kwenye hutoba zake analalamika madaraka ya rais kuwa makubwa and yet hakufanya chochote na alikuwa ana influence ya kufanya mabadiliko.
Nyerere ni Moja ya sababu hatuna Africa Moja, Nkrumah alimtuhumu kuwa ni kibaraka wa wazungu yawezekana kweli. Akaanzisha kijumuiya Cha East Africa nacho kikamfia akaamua abaki na Zanzibar
Africa moja ingekuwa na faida gani, ingetatua matatizo gani ambayo sasa hayawezi kutatuliwa kwenye ngazi ya nchi, ingekuwa na nini cha ziada?
Duuh, short circuitKama naa yeye alilalamika, kwa nini hukuungana naye katika kuleta hayo mabadiliko
Hiyo ndo point yangu ila jamaa kakaza fuvuMtoa mada ameeleza mabadiliko ya katiba ambayo yote yamefanyika huyo nyerere akiwa hai, na kwenye hutoba zake analalamika madaraka ya rais kuwa makubwa and yet hakufanya chochote na alikuwa ana influence ya kufanya mabadiliko.
Hujui nguvu ya Nyerere na hujui maana ya legacyKuendelea kumlaumu Nyerere hadi leo mtu aliyetoka madarakani over 40 years ago ni sawa na kumlaumu babu yako for your failures. Baba yako had a chance to turn things around na wewe ushakua mtu mzima unaweza kubadilisha maisha yako ila bado unalia babu babu. Huo ni ujinga.
Umeme mdogo kakaHiyo ndo point yangu ila jamaa kakaza fuvu
Hapana. Hapo nimetumia Direct Current, badala ya Alternating Current kwa maksudi kabisa; hakuna 'short circuit' ya aina yoyote iliyotokea.D
Duuh, short circuit
'Premise' ya hiyo unayoiita "maana" yako ni mbovu, na unataka watu wakubali upumbavu?Hiyo ndo point yangu ila jamaa kakaza fuvu
Hujui nguvu ya Nyerere na hujui maana ya legacy
Mimi naongelea mambo ya nchi na sio matatizo yangu binafsi
Mtu alalamikie katiba itampa Rais nafasi ya kuwa dikteta alafu yanakuja mabadiliko hafanyi chochote kuondoa anacholalamikia alafu baada ya hapo anarudi tena majukwaani kuendelea kulalamikia alafu unataka tukae kimya hapana'Premise' ya hiyo unayoiita "maana" yako ni mbovu, na unataka watu wakubali upumbavu?
Jamii yetu kwa kiasi kikubwa sana imejengwa kwenye misingi ya unafki lakin haya tunayoyalalamikia leo chanzo ni Nyerere ni mbaya zaidi aliyajua yote haya kwa maksudi akayaachaUmeme mdogo kaka
Manashindwa kutatua matatizo ya wakati wenu, badala yake mnakimbilia kulalamikia yaliyotokea katika nyakati zilizzopita.Umeme mdogo kaka
Ni kipi usichokielewa. Wewe upo sasa na unaona makosa yote yaliyotokana na aliyofanya wakati wa Nyerere.Mtu alalamikie katiba itampa Rais nafasi ya kuwa dikteta alafu yanakuja mabadiliko hafanyi chochote kuondoa anacholalamikia alafu baada ya hapo anarudi tena majukwaani kuendelea kulalamikia alafu unataka tukae kimya hapana
Kwa umri wako hujui hata maana ya legacy ni ajabu sanaManashindwa kutatua matatizo ya wakati wenu, badala yake mnakimbilia kulalamikia yaliyotokea katika nyakati zilizzopita.
Hiyo ni akili ya wapi?
Unafanyaje juhudi ilihali walioko madarakani wanafaidika na mfumo a.k.a katiba unadhani watakubali kirahisiNi kipi usichokielewa. Wewe upo sasa na unaona makosa yote yaliyotokana na aliyofanya wakati wa Nyerere.
Fanya juhudi za kuyarekebisha haya unayoyashuhudia sasa badala ya kuja hapa kupoteza muda kupigana mieleka na kivuli cha mtu ambaye hayupo tena.