Kuna watu bado wameganda kwenye siasa za "Vita Baridi", mapambano ya mataifa ya Magharibi na yale ya Mashariki.Ujamaa hauna shida.
Tembeeni dunia za watu muone, muache kuishi kwa stori za vijiweni.
"Msingi" unaoweza kurekebishika, kwa kufanyiwa marekebisho?Msingi Nyerere aliuweka ni hii katiba mbovu ya mwaka 1977
Nyoka anajivua gamba halafu anadai yeye sio sawa na Nyoka wengine....Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana
Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana
Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi
Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai
- Mabadiliko ya mwaka 1979
- Mabadiliko ya mwaka 1980
- Mabadiliko ya mwaka 1980
- Mabadiliko ya mwaka 1982
- Mabadiliko ya mwaka 1984
- Mabadiliko ya mwaka 1990
- Mabadiliko ya mwaka 1990
- Mabadiliko ya mwaka 1992
- Mabadiliko ya mwaka 1992
- Mabadiliko ya mwaka 1994
- Mabadiliko ya mwaka 1995
Mabadiliko 11 ya katiba yalifanyika wakati Nyerere akiwa hai ila cha ajabu haikuondoa mambo ambayo yanalalamikiwa kama madaraka makubwa ya Rais cha ajabu Nyerere mwenye alikuwa analalamikia madaraka makubwa ya Rais mpaka alinukuliwa akisema mkipata Rais mbovu atakuwa dikteta ila yakija mabadiliko haondoi hicho kinachomfanya Rais kuwa dikteta na kipo ndani ya katiba
Nyerere ni mwadilifu hili liko wazi hakuna anayebisha ila alisahau alitengeneza mfumo ambao unatoa mwanya kwa watu waliopewa dhamana kufanya ubadhirifu bila kichukuliwa hatua yeyote ile mfano katiba ya Tanzania inasema waziwazi bila kificho Rais akimaliza mda wake hatastakiwa hii ni hatari sana kama akipatikana Rais mbovu atafanya mambo akijua kabisa anakinga ya kutostakiwa swali la kujiuliza kwanini Nyerere aliruhusu kuwepo kwenye katiba sababu alikuwa ana uwezo wa kukitoa ila kwenye amendment zote zilizofanyika yeye akiwa hakuwa kukiondoa hiki kipengele ila akija majukwaani akawa anaendelea kulalamika madaraka ya Rais ni makubwa sana lakin jibu ni lile alikipenda sana chama kuliko nchi
Hata sasa hivi malalamiko ya katiba ni mengi ila sidhani kama kuna kiongozi aliyetoka ccm atakubali kuibadilisha katiba kama watu wengi wanavyodhani kwa sababu viongozi wengi wa ccm wanapenda chama kuliko nchi
Sasa kama anaingia bila visa hiyo passport utalinganisha na wewe!?
Beside amini unacho amini
Ni mambo ya ajabu sana ila tukiongea tunaonekana wabayaNyoka anajivua gamba halafu anadai yeye sio sawa na Nyoka wengine....
Ni mambo ya ajabu sana ila tukiongea tunaonekana wabaya
Marafiki zangu wapi mimi sio ccm na sina rafikia au ndugu ni kiongozi wa ccm"Msingi" unaoweza kurekebishika, kwa kufanyiwa marekebisho?
Msingi unaouzungumzia wewe ni wa hao marafiki zako usiotaka kuwatupia lawama kwa kuung'oa msingi sahihi.
Swala la katiba sio swala langu binafsiMwalimu alifanya kwa sehemu yake. wewe umefanya nini hadi sasa!!!!!
Rais wa mirembe una upumbavu mwingi sana.
Hata kiswahili hujui.Swala la katiba sio swala langu binafsi
Mwalimu alihusika kutengeneza katiba ya mwaka 1977 akiwa kama Rais
Wale watu 20 waliotengeneza katiba si Nyerere aliwateuaHata kiswahili hujui.
Mwalinu hajawahi kutengeneza katiba.
Nina uhakika wa asilimia Mia HUMJUI MTU YOYOTE ALIYEEHUSIKA KUANDAA KATIBA ILE.77
Hizi beji za platinum mnapewa kwa kigezo cha uelewa au upumbavu mlio nao?.Mimi naweza kutetea "ujinga"; lakini ni wazi kabisa hapa kwamba wewe unatetea upumbavu, hata hujui unachotetea.
Kisa umeolewa familia ya Nyerere ndiyo unatetea sana ujinga wakeWewe sina haja ya kuhangaika nawe leo hii, kwa sababu naona ni mbovu zaidi ya huyu niliye naye leo.
Subiri zamu yako siku nyingine.
KWANINI UNATUMIA NENO KUTENGENEZA?Wale watu 20 waliotengeneza katiba si Nyerere aliwateua
Alilipenda katoliki kuliko nchiUkifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana
Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana
Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi
Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai
- Mabadiliko ya mwaka 1979
- Mabadiliko ya mwaka 1980
- Mabadiliko ya mwaka 1980
- Mabadiliko ya mwaka 1982
- Mabadiliko ya mwaka 1984
- Mabadiliko ya mwaka 1990
- Mabadiliko ya mwaka 1990
- Mabadiliko ya mwaka 1992
- Mabadiliko ya mwaka 1992
- Mabadiliko ya mwaka 1994
- Mabadiliko ya mwaka 1995
Mabadiliko 11 ya katiba yalifanyika wakati Nyerere akiwa hai ila cha ajabu haikuondoa mambo ambayo yanalalamikiwa kama madaraka makubwa ya Rais cha ajabu Nyerere mwenye alikuwa analalamikia madaraka makubwa ya Rais mpaka alinukuliwa akisema mkipata Rais mbovu atakuwa dikteta ila yakija mabadiliko haondoi hicho kinachomfanya Rais kuwa dikteta na kipo ndani ya katiba
Nyerere ni mwadilifu hili liko wazi hakuna anayebisha ila alisahau alitengeneza mfumo ambao unatoa mwanya kwa watu waliopewa dhamana kufanya ubadhirifu bila kichukuliwa hatua yeyote ile mfano katiba ya Tanzania inasema waziwazi bila kificho Rais akimaliza mda wake hatastakiwa hii ni hatari sana kama akipatikana Rais mbovu atafanya mambo akijua kabisa anakinga ya kutostakiwa swali la kujiuliza kwanini Nyerere aliruhusu kuwepo kwenye katiba sababu alikuwa ana uwezo wa kukitoa ila kwenye amendment zote zilizofanyika yeye akiwa hakuwa kukiondoa hiki kipengele ila akija majukwaani akawa anaendelea kulalamika madaraka ya Rais ni makubwa sana lakin jibu ni lile alikipenda sana chama kuliko nchi
Hata sasa hivi malalamiko ya katiba ni mengi ila sidhani kama kuna kiongozi aliyetoka ccm atakubali kuibadilisha katiba kama watu wengi wanavyodhani kwa sababu viongozi wengi wa ccm wanapenda chama kuliko nchi
Mbona hilo lipo wazi.Kiufupi mzee Nyerere alikuwa mroho wa madaraka, sijui alijua ataishi milele?
Huo Usia ulitungwa tu na wahuni wa zama hizo.Mwalimu aliweka Misingi.
Sisi vijana wa sasa ni kujenga Nyumba Tanganyika.
Okoeni nchi yenu
Mwalimu alikiwa England maneno yake ya mwisho kabisa alisema.
"Ipendeni nchi yenu kama mnavyowapenda mama zenu".
Jk nyerere.