Kutoka X: Wenye njaa Sasa pale Lumumba wanavyo kasirika sasa.wanajisahaulisha kuwa hii NCHi ni ya vyama vingi Sasa hawataki.
Mwl. Nyerere alionaga mbali Sana alijua hawa MaCCM HOFU NDANI YAO watasumbua waTanganyika
Naiona CCM ikipasuka kama KANU. Na mpasuko huo utaleta tumaini jipya kwa watanzania na kuja kuelewa kuwa CCM wametuchelewesha kiasa gani mpaka leo hii.