Kama tumelikataa wewe inakuuma nini? Mbona "Jamhuri ya Watu wa Zanzibar" haipo tena na tunasikia kuna "Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar?" Hayo mabadiliko kwako sio issue ila issue ni "Utanganyika" tu ndio unaokuuma?Hatujiiti kama mtanganyika anavyoitwa japo mumefanywa mlikatae jina lakini haliondoki
Historia ni historia, iwe ya Kanisa au ya Msikiti! Kinachosumbua akili yako ni kwamba unataka uone Mtu wa DINI uliyopo wewe akiwa pale Magogoni tu basi, whether anaperform au anasafiri nje ya nchi kuliko anavyoenda kumtembelea mama yake kijijini na kusababisha ufisadi au la, wewe hilo halikusumbui! Wengine wakikalia kiti pale unaona hawafai simply kwa hawana imani kama ya kwako!
Kama tumelikataa wewe inakuuma nini? Mbona "Jamhuri ya Watu wa Zanzibar" haipo tena na tunasikia kuna "Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar?" Hayo mabadiliko kwako sio issue ila issue ni "Utanganyika" tu ndio unaokuuma?
Mbona mtume fulani kaua watu wengi sana katika dunia hii wewe husikitiki? Au kwa kuwa alikuwa anapigana kwa "njia ya mungu fulani?"
Andiko lako linataka haswa kutuambia nini ulichokikusudia? Issue inaonekana ni kujeruhiwa kwako na Mwalimu enzi hizo. Je, andiko lako halina uhusiano na mateso hayo uliyoyapitia? Ni vipi unajitenga na masimulizi yenye kutawaliwa na mateso yako na hisia hasi kwa Mwalimu ama za kupandikiziwa ama zitokanazo na mateso hayo?
Hakuna utawala usioacha madonda kwa watu fulani fulani. Kama ilikutokea ilipaswa iwe hivyo. Achana na maandiko ya kibaguzi baguzi. Nchi itajengwa kwa mawazo endelevu na si mawazo ya visasi visasi na chuki. Roho huyu mtaka fujo ashindwe na akalegee kwelikweli juu yako.
Kama hutaki kusikia Historia ya Nyerere si ungenyamaza kimya usitaje hata jina lake? Watu hawateswi na mfumo bali wanateswa na inferiority complex! Na kwa staili hii mtateseka sana!hujajibu hoja wala swali
Hizo historia za kanisa na nyerere wenu kaziongelee kanisani .
Watu wanateswa kwa mfumo wake dubwana lenu na wanaendelea kuteseka hata tanganyika.
Hujamsikia Tundu lissu kaona kitu gani rumande??
Aliyeuwa watu wengi ni yule aitwaye mungu aliyezaliwa na mwanamke.
japo unatafuta kuchukua funguo unifungie, ukweli nitakuambia
Wafuasi wake wamewaweka mpaka binadamu wenzao kwenye ma-zoo pamoja na wanyama
Zanzibar ni miongoni mwa "mikoa" ya Tanzania, sasa kuna ajabu gani kuilinda? By the way, tunapotaja watu milioni 40 tunajumuisha na wenzetu milioni 1!Zanzibar ipo na itakuwepo kwa uweza wake Mungu ingawa kijisiwa kidogo, hakiwapi usingizi watanganyika na zaidi kanisa .
Watu zaidi ya milioni 40 , hamwezi kujiendesha mpaka mkikimbatie kisiwa cha watu milioni 1 na nusu ???
Vile hujamsahau Rais Makonda wa mkoa wa Dsm akiwa na bendera yake na katiba yake na pia hutiliana mkataba na mikopo na nchi za nje??Zanzibar ni miongoni mwa "mikoa" ya Tanzania, sasa kuna ajabu gani kuilinda? By the way, tunapotaja watu milioni 40 tunajumuisha na wenzetu milioni 1!
mbona unaumia kutajwa Mlaanifu wako. Si liambie kanisa lako limpe u saint apate kustarehe huko alikoKama hutaki kusikia Historia ya Nyerere si ungenyamaza kimya usitaje hata jina lake? Watu hawateswi na mfumo bali wanateswa na inferiority complex! Na kwa staili hii mtateseka sana!
Kwa kuwa sio wa dini yako ndio maana inakuuma! Utakufa siku si zako na chuki zilizokujaa kifuani mwako!mbona unaumia kutajwa Mlaanifu wako. Si liambie kanisa lako limpe u saint apate kustarehe huko aliko
I
Kuna jambo moja tu linalobeba ujumbe wa Post zako zote, ni UDINI tu! Hayo mengine ni kujazia tu!Nani alikulazisha kusoma??
Sema pole pole ili wenyewe wasikusikie...!Hakuna mzanzibar anayekubali hilo huyo labda atakuwa mwendawazimu kama wewe unayetamani kuabudu mwanadamu mwenzako
Miongoni mwa aliyowahi kuyasema Nyerere ni kuwa ati iwapo Zanzibar itaachana na Tanganyika basi Tanganyika kutakuwa shuwari lakini Wazanzibari wataanza kubaguana baina ya Wapemba na Waunguja na halafu wataendelea kutafutana asili zao..
Ukitaka kujua ''unafiki wa wa wazanzibar'' soma habari hiyo kisha sikiliza hotuba hii
Kumbuka hii makala imeandikwa na mtu tunayemjua kutoka London na siyo Gavana
Nyerere aliongelea pande zote, znz na Tanganyika
Mwandishi amechukua sehemu tu na kuifanya ndiyo hotuba ili Nyerere aonekane anawafitini wznz. Kachukua kasehemu ili kutengeneza kesi dhidi ya Nyerere
Mwandishi alifanya hivyo akiwajua wznz, na anawapata kila siku
Anafahamu uwezo wao na wapi pa kuwalaghai.
Kitu kimoja ambacho hatusikii kutoka kwa kiongozi yoyote wa ZNZ iwe chama tawala au upinzani ni neno 'vunja muungano'.
Hata mwandishi hajawahi kuandika makala ya namna hiyo.
Wote siku zote wanataka muungano, nyuma ya pazia wanazungumza kinafiki
Walikuwa na fursa Dodoma, kwa unafiki wakakataa, leo wanalaani muungano
Mwaka 2010 wakandika katiba, hakuna aliyethubutu kusema hataki muungano.
Kusema znz ni nchi haitoshi, nchi ina sifa zake.
Nyerere si tatizo, tatizo ni wznz na mambo ya kinafiki wakimsingizia Nyerere
Kuna jambo moja tu linalobeba ujumbe wa Post zako zote, ni UDINI tu! Hayo mengine ni kujazia tu!
Sikiliza, usitake kubadilisha mada. Nimekuwekea kauli za Nyerere kukuonyesha kuwa Rajaabu kama walivyo wznz wengine unafiki ni utamaduni.Nyerere alisahau kuwa Zanzibar haikuanza baada ya uvamizi wake 1964 .
hivi Kabla ya 1964 kulikuwa hakuna Unguja na Pemba ???
Msikilize huyu Sheikh Ilunga kaongea kila kitu