Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

Wewe mwenyewe umeleta clip ya Sheikh ILUNGA, kama hutaki tumuongelee mbona unaleta clip zake hapa? Mbona unamtetea sana, huku ukijua kwamba alikuwa anahamashisha Makasisi wauawe?

Si anzisha uzi wako wa Ilunga, unajaribu kukimbia mada kuficha ukweli

kama unaharisha kwa kumsikiliza ilunga msikilize Iman Petro kamchambua vizuri nyerere kwenye vitabu vya kanisa katoliki

Chadema, kwenu mmsema pumba kama lissu ndo mnamtukuza na kuwabeza wenye busara
 
...katika watu wanaonekana weh* ni wale wanamponda nyerere kwa udini,mpaka leo nchi haijawahi kuwa na vita vya kidini kwa sababu ya umoja tangu uhuru....mnaoleta uchonganishi wa kidini mungu anawaona!!

Si anzisha uzi wako wa Ilunga, unajaribu kukimbia mada kuficha ukweli

kama unaharisha kwa kumsikiliza ilunga msikilize Iman Petro kamchambua vizuri nyerere kwenye vitabu vya kanisa katoliki

Kwa hiyo Marehemu ILUNGA kwako ni untouchable na haguswi? Na kama unabariki matamshi yake ya kuchinja Makasisi, wewe una tofauti gani naye?
 
Waarab koko na hasira zao dhidi ya Nyerere...
Badala ya kumlaumu Jecha na SMZ wanaamua kumlaumu Nyerere. Nendeni zenu uarabuni watawapokea kama wenzao...
 
Kwa hiyo Marehemu ILUNGA kwako ni untouchable na haguswi? Na kama unabariki matamshi yake ya kuchinja Makasisi, wewe una tofauti gani naye?

sikiliza nini kanisa linataka, kutoka vitabu vya kanisa katoliki

Waarab koko na hasira zao dhidi ya Nyerere...
Badala ya kumlaumu Jecha na SMZ wanaamua kumlaumu Nyerere. Nendeni zenu uarabuni watawapokea kama wenzao...

Jumatatu, 2 Mei 2016
Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
Kijana Gavana, naomba urudi kwenye jukwaa la dini, uondoke huku kwenye jukwaa la siasa. Huku unaanza kueneza chuki zako dhidi ya Nyerere tunayemheshimu Nyerere kutuongoza vyema na kutupatia muungano na ndugu zetu wa Zanzibar waliokuwa wamevamiwa na sultan Mwovu, mgeni na aliyetaka kutuvuruga. Nyerere alituunganisha na kutuongoza vyema Hadith sasa tunajivunia muungano wetu. Gavana usieneze vurugu zako sisi ni wasitaarabu.
 
Kardinali anakuambia umepewa jukumu na mungu kulinda muungano. Kazi unayo . Naona biblia mpya hiyo unaletewa na pengo
 
Kardinali anakuambia umepewa jukumu na mungu kulinda muungano. Kazi unayo . Naona biblia mpya hiyo unaletewa na pengo
Gavana, naona umepiga kona kali kutoka kwenye mada. Ukweli nimekuandikia na hukujadili Haifa mada moja ya bandicoot langu hapo juu,. Basi mawazo yako ni kushmbulia Pengo na Biblia kazi ambayo nakuhimiza uifanya kwa bidii lakini hutapata mafanikio ya makusudi yako hadi kiyama. Kama unabisha mfano upo kwa kenge
 
Wanafiki Sana hawa watu ,MTU ameshajipumzikia mapumziko ya milele wenyewe wanahangaika kwa vitu visivyo Na msingi. Huyo mtoa mada Ni mnafiki ,kizabina zabina .
 
udini unao wewe kwani huishi kuwafungia waislamu kwa sababu za kipumbavu tu. Wakristo wenzako hata wakitukana matusi ya nguoni unazitoa post zao

zawadi yako hii

Huyu ilunga Afadhali ameshatangulia alikuwa MTU hatar kwenye jamii. Allah Akbar
 
Wanafiki Sana hawa watu ,MTU ameshajipumzikia mapumziko ya milele wenyewe wanahangaika kwa vitu visivyo Na msingi. Huyo mtoa mada Ni mnafiki ,kizabina zabina .

Kumbe amejipumzikia, mungu mwengine wa muungano mnayemuabudu??
 
Hivi nimemshambulia wapi huyo kardinali wako, pengo , au nikuwekee maneno yake ???

Jumatatu, 2 Mei 2016
Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
Kama alikuwa ana ku influence huyo ilunga wako pole sana. Hata Allah sidhani kama alimpokea

Ilunga ameeleza ukweli tu , Hivi hujamsoma huyo Kardinali Pengo anavyosema au unajifanya kipofu ???

Kardinali anakwambia umepewa jukumu na mungu kuulinda Muungano , KAZI KWAKO

Tusiokuwa wakristo , na wasio wakatoliki wanaoukataa muungano wajue kuwa wanampinga mungu.

Amesema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila muumini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…