Badala ya kuongeza idadi ya madarasa na walimu anawaambia wacheleweshwe kusoma ndiyo kwa wewe yupo sahihi? Daah!Kwa wakati huo alikuwa sahihi kwa kiasi fulani. Alisema kuwa ni asilimia 13 tu ya wanafunzi ndiyo wanaweza kwenda sekondari. Hivyo ni bora elimu yetu iiangalie jinsi ya kuwatumia hawa 87%
Kwenye hicho kitabu anasema kuwa bajeti ya elimu ilikuwa tayari kubwa kupita kiasi, (kama milioni miamoja na kadhaa hivi.) Hivyo alisema haiwezekani kuongeza bajeti. Tena ingetakiwa kupungua. Kwahiyo kwake suala la kuongeza madarasa lisingewezekana.Badala ya kuongeza idadi ya madarasa na walimu anawaambia wacheleweshwe kusoma ndiyo kwa wewe yupo sahihi? Daah!
Alikuwa anajenga utumwa mambo leo?
Bajeti ya kupiganisha nchi vita alikuwa nayo, bajeti ya kupeleka misaada Biafra alikuwa nayo, bajeti ya kupigana vita zisizokuwa zake alikuwa nazo, bajeti ya elimu ndiyo kakosa?Kwenye hicho kitabu anasema kuwa bajeti ya elimu ilikuwa tayari kubwa kupita kiasi, (kama milioni miamoja na kadhaa hivi.) Hivyo alisema haiwezekani kuongeza bajeti. Tena ingetakiwa kupungua. Kwahiyo kwake suala la kuongeza madarasa lisingewezekana.
Alitupeleka ChakaBajeti ya kupiganisha nchi vita alikuwa nayo, bajeti ya kupeleka misaada Biafra alikuwa nayo, bajeti ya kupigana vita zisizokuwa zake alikuwa nazo, bajeti ya elimu ndiyo kakosa?
Maajabu hayo.
NakaziaAliwajaza watu ujinga kuwa eti miaka 12 au 13 ndio mwisho wa kusoma mtoto akianza kusoma mapema. Dah, huyu Mzee hapo alibugi sana tena sana.
🤣🤣🤣🤣🤣Aliwasaidia watoto wengi kufaidi usingizi mtamu. wa siku hizi miaka miwili mitatu wanaamshwa saa kumi kujiandaa kwenda shule. Ndo maana vingi havina adabu vimeanza kupata stress mapema mno
Wewe akili zimo kweli?? Unaongelea kuongeza madarasa miaka ya 60 ku cover asilimia 87 wakati mpaka sasa miaka 60 baadae bado tumeshindwa kucover watoto wote??plan ya muda mfupi ilikuwa ni hiyo huku tukisubiri tufikie uwezo wa kuaccomodate watoto wote ambao angalu sasa miaka 60 tunakaribia kufNikiwaBadala ya kuongeza idadi ya madarasa na walimu anawaambia wacheleweshwe kusoma ndiyo kwa wewe yupo sahihi? Daah!
Alikuwa anajenga utumwa mambo leo?
Sawa! Alikuwa sahihi kwa karne iliyopita.kiukweli Sasa hivi hata mtaala wetu unahitaji mabadiliko makubwa sana ili uendane na millennium age! (Karne ya sayansi na teknolojia) maarifa mengi yanayotolewa yako nyuma ya wakati.Wakati akitoa wazo lake elimu ya msingi ilikua basic wakati sasa hivi elimu basic ni kidato cha NNE.Kwenye kitabu elimu ya kujitegemea Mwalimu Nyerere alitoa hoja nyingi juu ya mustakabali wa elimu yetu. Moja ya hoja yake ulihusu umri wa mwanafunzi kuanza shule.
Alisema kuwa kuanza shule na miaka 5 au 6 haifai sababu mtoto anamaliza na miaka 12-13. Umri ambao hawezi kuwa na manufaa yoyote kwa jamii. Kwanza nchi ya kijamaa inahitaji wafanyakazi(wakulima). Mtoto wa 12 hawezi kuwa na manufaa yoyote. Pili asilimia kubwa sana ya watoto waliomaliza shule ya msingi enzi hizo, asilimia 87 walikuwa hawaendelei na sekondari, hivyo ni bora wabapomaliza shule ya msingi wawe na uwezo wa kufanya kazi. Huo ndiyo mwanzo wa kuanza shule na miaka 7. Unaweza soma kitabu chake hicho na vingine vingi bure ndani ya maktaba app. Ipakue playstore.View attachment 2163089
Hio mbna siku hiz ni kawaida watoto wa Miaka mitano wanaanza drs la kwanza. Mitatu wapo chekecheaNyerere alikuwa sahihi, hata hivyo zama zimebadilika. Hatuna budi kujitafakari kama kweli ni lazima kusubiri miaka 7 ndipo mtoto aanze elimu ya msingi. Nadhani tunaweza kubadili bila athari zozote kubwa, na tutachochea ari ya vijana kujitegemea mapema zaidi kwa kuchangia pato la taifa badala ya kuendelea kuwa tegemezi kwa wazazi wao.
Tangu kuanza kwa Sekondari za Kata, asilimia kubwa ya watanzania wanafanikiwa kupata Elimu ya sekondari. Hii inaongeza miaka mingine 4 vijana wakingali chini ya mfumo rasmi wa elimu wenye usimamizi wa karibu.
Mimi naona sio vibaya tukirudisha miaka 2 nyuma, watoto waruhusiwe kuanza shule na miaka 5 ili wamalize sekondari wakiwa na umri wa miaka 16.
Kwa jinsi elimu yetu ya sasa ilivyo, watu wanazeekea shuleni. Fikiria mtu anamaliza digrii na miaka 23-25!
Wewe umebugia mazima bila hata kutafuna. Mbona humlaumu babu yako kwamba alibugi kwa kutokuwa tajiri wakati mababu wengine walikuwa matajiri? Nyambafu.Aliwajaza watu ujinga kuwa eti miaka 12 au 13 ndio mwisho wa kusoma mtoto akianza kusoma mapema. Dah, huyu Mzee hapo alibugi sana tena sana.
Siwezi kumlaumu Nyerere kwa hilo. Kabla hujalaumu fuatilia historia kwanza. Kama tu familia zinawashinda kuendesha utaweza kuendesha nchi kirahisi hasa nchi maskini iliyokuwa imetopea umaskini wa kutupwa?. Kila jambo lina wakati wake tupo bize kusifia vya wenzetu tukidhani tuonavyo maendeleo yao leo ndivyo walivyokuwa miaka 100+ huko nyuma. Kila kitu lazima kiwe na mwanzo we bibi.Badala ya kuongeza idadi ya madarasa na walimu anawaambia wacheleweshwe kusoma ndiyo kwa wewe yupo sahihi? Daah!
Alikuwa anajenga utumwa mambo leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliwasaidia watoto wengi kufaidi usingizi mtamu. wa siku hizi miaka miwili mitatu wanaamshwa saa kumi kujiandaa kwenda shule. Ndo maana vingi havina adabu vimeanza kupata stress mapema mno
Mlidanganywa kuwa Tanzania ni masikini mkadanganyika. Familia ipi iliyoshindwa kujiendesha? Labda ya baba'ko na mama'ko.Siwezi kumlaumu Nyerere kwa hilo. Kabla hujalaumu fuatilia historia kwanza. Kama tu familia zinawashinda kuendesha utaweza kuendesha nchi kirahisi hasa nchi maskini iliyokuwa imetopea umaskini wa kutupwa?. Kila jambo lina wakati wake tupo bize kusifia vya wenzetu tukidhani tuonavyo maendeleo yao leo ndivyo walivyokuwa miaka 100+ huko nyuma. Kila kitu lazima kiwe na mwanzo we bibi.
Utajiri ni "subjective". Uliwahi kusikia babu yangu kakosa kusoma au kafata ujinga mliojazwa nao ninyi wa kuomba omba mpaka leo bado unalalamika lalamika kuomba omba.Wewe umebugia mazima bila hata kutafuna. Mbona humlaumu babu yako kwamba alibugi kwa kutokuwa tajiri wakati mababu wengine walikuwa matajiri? Nyambafu.
Ila chuo si lazimaElimu yetu ina miaka mingi sana ya darasani..yani inatakiwa mtoto akiwa na 20 kamaliza hadi chuo kikuu.
#MaendeleoHayanaChama