Nyerere ndiye aliyeshauri umri wa kuanza shule uwe miaka 7

Nyerere ndiye aliyeshauri umri wa kuanza shule uwe miaka 7

Hakuna nchi yenye bajeti ndogo kwenye ulinzi. Nadhani ndio inaongoza mpaka huko Saudi Arabia wanakoenda kuhiji,bajeti ya silaha usipime.
Elimu huna hizo silaha zinakusaidia nini kama si ujuha tu.
 
Tena alitoa elimu bure mpaka chuo kikuu,kwa wale wenye uwezo wa kufaulu. Pamoja na yeye kuwa mkristo akanyang'anya shule za wakristo ili watanzania wote wasome bila kujali dini zao.
Faizafoxy hajui kuwa Tanzania ya leo ni Matunda ya Mwalimu Nyerere haya!!
 
Back
Top Bottom