FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Mar 25, 2022 #61 mundaliku said: Hakuna nchi yenye bajeti ndogo kwenye ulinzi. Nadhani ndio inaongoza mpaka huko Saudi Arabia wanakoenda kuhiji,bajeti ya silaha usipime. Click to expand... Elimu huna hizo silaha zinakusaidia nini kama si ujuha tu.
mundaliku said: Hakuna nchi yenye bajeti ndogo kwenye ulinzi. Nadhani ndio inaongoza mpaka huko Saudi Arabia wanakoenda kuhiji,bajeti ya silaha usipime. Click to expand... Elimu huna hizo silaha zinakusaidia nini kama si ujuha tu.
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Mar 26, 2022 #62 mundaliku said: Tena alitoa elimu bure mpaka chuo kikuu,kwa wale wenye uwezo wa kufaulu. Pamoja na yeye kuwa mkristo akanyang'anya shule za wakristo ili watanzania wote wasome bila kujali dini zao. Click to expand... Faizafoxy hajui kuwa Tanzania ya leo ni Matunda ya Mwalimu Nyerere haya!!
mundaliku said: Tena alitoa elimu bure mpaka chuo kikuu,kwa wale wenye uwezo wa kufaulu. Pamoja na yeye kuwa mkristo akanyang'anya shule za wakristo ili watanzania wote wasome bila kujali dini zao. Click to expand... Faizafoxy hajui kuwa Tanzania ya leo ni Matunda ya Mwalimu Nyerere haya!!
mtimawachi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 2,108 Reaction score 3,155 Mar 26, 2022 #63 jkipaji said: Faizafoxy hajui kuwa Tanzania ya leo ni Matunda ya Mwalimu Nyerere haya!! Click to expand... Hata huo uislamu wake anaojivunia ni matunda ya mwl Nyerere
jkipaji said: Faizafoxy hajui kuwa Tanzania ya leo ni Matunda ya Mwalimu Nyerere haya!! Click to expand... Hata huo uislamu wake anaojivunia ni matunda ya mwl Nyerere