Hujaelewa hoja ya mleta mada. Ungemuelewa ana logic sana kwenye uzi wake.Mwana alishakufa miaka 20 imepita bado mnamlaumu mpaka kwenye ugonjwa wa leo. Tumeshindwa kukabili matatizo yetu tunaita walokufa sasa.
Ndiyo alifanya makosa. Hajawazuia ninyi kufanya sahihi sasa.
Sisi wenyewe tunaendelea kuwaruhusu viongozi kuwa na hatimiliki ya maisha yetu halafu tunatafuta wa kusingizia.
Give him a break.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuu.Yeye kakaa Ikulu miaka 25 na kaweka mifumo mibovu sawa sikatai..Tangu aondoke Ikulu ni miaka 40 sasa.. kama kwa miaka 40 tumeshindwa kuondoa mifumo iliyowekwa kwa miaka 25 basi sisi ni WAPUMBAVU MARA 1000 Na hatupaswi kumlaumu Nyerere tujilaumu sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza asilimia mkuuNyerere ndio source ya matatizo ya Tz Kwa asilimia 70
Kwani yeye aliwahi kukupenda?Nyerere aliyeitawala Tanzania miaka hishirini na ushehe. Wananchi wa wakati wake walikuwa na uelewa mdogo wa mambo mbalimbali ikapelekea kumkubali sana huyu mtu.
Alikuwa na uwezo wa kubadili katiba ya nchi hii na kutupatia katiba yenye kuyapa majimbo, mikoa au wilaya mamlaka kamili.
Mfano kwenye hili suala la COVID 19 wakuu wa mikoa hawana mamlaka ya kufunga mikoa yao au kuamuru jambo lolote.
Sio kwenye issue ya corona tu, hata mambo ya kimaendeleo hakuna mkoa sasa unamamlaka ya kujipangia mambo yake.
Nyerere ulijilimbikizia nguvu kama mkoloni, ile nguvu umeirithisha kwa wengine nao wengine wamejiongezea nguvu zaidi.
Sikupendi Nyerere.
View attachment 1433303
Watanzania wengi vichwa vyao hufanya kazi ya kubeba mizigo peke yake... Wakijua ndo matumizi sahihi ya vichwa vyao...
Yaani hadi leo mtu unamlalamikia JKN wakati tangu ang'atuke na aondoke kabisa kuna chaguzi kibao zishafanyika!
Kila uchaguzi ni fursa adhimu ya kuchagua mustakabali wa maisha yetu!!
Jamani fellow Tanzanians... Vichwani mwenu kuna ubongo na akili... Umizeni vichwa vyenu mkiwa hai...
Tumieni bongo na akili zenu kikamilifu kuchagiza mabadiliko yenye tija badala ya kulaumu marehemu...!!
Kenyata - KikuyuTanzania Hakuna Mfumo mbovu, Tanzania inaongoza kwa mfumo bora Africa
Ndio maana mtu yeyote mwenye sifa anaweza kuwa Rais
Nenda kenya Nchi inatawaliwa na ukoo mmoja
Wewe kichwa chako ndo mzigo kabisa..
Kuna uchaguzi Tanzania?
Aliweka mazingira ya kutokuwepo chaguzi huru ni Nani kama sio Nyerere?
Unachosahau ni kwamba viongozi wanapoondoka mamlakani huwa wanaweka watu wao wanaoweza kuendeleza kile wanachokiamini kiitikadi na kifalsafa.Yeye kakaa Ikulu miaka 25 na kaweka mifumo mibovu sawa sikatai..Tangu aondoke Ikulu ni miaka 40 sasa.. kama kwa miaka 40 tumeshindwa kuondoa mifumo iliyowekwa kwa miaka 25 basi sisi ni WAPUMBAVU MARA 1000 Na hatupaswi kumlaumu Nyerere tujilaumu sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere amefariki lini? Ni zamani sana. Mbona tumeshindwa kurekebisha? Tena tunafanya vibaya kuliko hata kipindi chake? Tuache visingizio vys mbaazi. Nyerere alikuwa mmoja wa marais bora kabisa Afrika.Nyerere ndio source ya matatizo ya Tz Kwa asilimia 70
tatizo ni wewe sio nyerere vyama vya siasa vipo vingi nyinyi mumenga'nana na c.c.m Kama vile hakuna vyama vingine siku mkitoa c.c.m madarakani ndo mtapata maendeleo ya kweliNyerere aliyeitawala Tanzania miaka hishirini na ushehe. Wananchi wa wakati wake walikuwa na uelewa mdogo wa mambo mbalimbali ikapelekea kumkubali sana huyu mtu.
Alikuwa na uwezo wa kubadili katiba ya nchi hii na kutupatia katiba yenye kuyapa majimbo, mikoa au wilaya mamlaka kamili.
Mfano kwenye hili suala la COVID 19 wakuu wa mikoa hawana mamlaka ya kufunga mikoa yao au kuamuru jambo lolote.
Sio kwenye issue ya corona tu, hata mambo ya kimaendeleo hakuna mkoa sasa unamamlaka ya kujipangia mambo yake.
Nyerere ulijilimbikizia nguvu kama mkoloni, ile nguvu umeirithisha kwa wengine nao wengine wamejiongezea nguvu zaidi.
Sikupendi Nyerere.
One person?Nyerere was just one person! Kwa wingi wetu sisi tumefanya nini kudai chaguzi huru na mabadiliko...??
Nyerere amefariki lini? Ni zamani sana. Mbona tumeshindwa kurekebisha? Tena tunafanya vibaya kuliko hata kipindi chake? Tuache visingizio vys mbaazi. Nyerere alikuwa mmoja wa marais bora kabisa Afrika.
Bosi sidhani kama ni busara sana kuwalaumu wazazi wako kwa magumu unayopitia katika kujitegemea kwako...!!One person?
Yeye ndo aliaminiwa kuweka foundation
Ya msingi wa kujitawala hapa Tz?
Why tusimlaumu kama mfumo alioujenga ndo huu WA kuogopa hata kukosoa achilia mbali uchaguzi huru hakuna?
Bosi sidhani kama ni busara sana kuwalaumu wazazi wako kwa magumu unayopitia katika kujitegemea kwako...!!
You gotta come with strategies to unleash your potentials and move forward...
There is no future in the past!!
Usiniangushe bosi!!
Unaona sie ni washamba wa lumumba, mengine sio lazima u comment, kwani ukinyamaza utapoteza nini au buku saba hutopataTanzania Hakuna Mfumo mbovu, Tanzania inaongoza kwa mfumo bora Africa
Ndio maana mtu yeyote mwenye sifa anaweza kuwa Rais
Nenda kenya Nchi inatawaliwa na ukoo mmoja