Nyie Viongozi wa Tanga nimeshindwa kukaa na wananchi wenu? Enyi watu wa Tanga kudanga sio kazi ebu fanyeni kazi Bwana

Ambao hawajawahi fika tanga hawawezi kuelewa, ila tanga ingekua na wachapakazi sijui ingekua wapi mana wanakila kitu.

Athari za utawala wa mwarabu na tamaduni zake vinaonekana wazi kabisa.
Tanzania imeoza yote.

Sasa hivi...usishangae siku ukiambiwa kuwa mkeo, mama yako, dada yako na shangazi zako wote ni wadangaji wazoefu.
 
Hata wale wasanii wa kizazi kipya walithibitisha hilo. Wagosi wa Kaya wanasema "Tanga Kunani". Kuna verse inasema "Vijana wa Kiume kushikishwa ukuta".

Halina ubishi hili. Tanga malaya wa kiume (wasenge) ni jadi
 
Sio kweli,umekuza sana hii habari tofauti na uhalisia.
 
Tanzania imeoza yote.

Sasa hivi...usishangae siku ukiambiwa kuwa mkeo, mama yako, dada yako na shangazi zako wote ni wadangaji wazoefu.
Mkuu coment yako imekaa kichokozi, ila naomba niheshimu mawazo yako.
 
Haya hayaa hayaaa wale wa makorora,Kwa minchi raskazone dongee,barabara ya 7 hapo ,mabanda ya papa,majani mapana ,chumba geni mkuje mkuje mjibu Kwa nn mmezid uvivu papuchi mnafanya kitega uchumii 😂
Duh

Ova
 
Tatizo lililo wazi ambalo watu wengi hawataki kukubali ukweli ni kwamba Tanga pamoja na mikoa mingine hapa Tanzania iliyoshamiri Uislam, maendeleo ni sawa na hakuna. Wananchi wake wako so hopeless, pamoja na kusoma kuwa ni bure wao bado wanafikiri kusoma shule ni dhambi na ndiyo maana watoto wao wanahimizwa kusoma Kiarab tu ambacho hakiwasaidii maishani. Mwisho wa siku watoto wanakuwa mambumbumbu na hawana kazi, wazazi wanaanza kuchukia watoto wa wenzao waliosoma na kuwatupia majini ili wafanane maisha. Kuishi Tanga kunatakiwa moyo haswa na ndiyo maana unaona wanawake wao wanaongoza kwa uchawi kuroga waume wa wenzao.
 
Ambao hawajawahi fika tanga hawawezi kuelewa, ila tanga ingekua na wachapakazi sijui ingekua wapi mana wanakila kitu.

Athari za utawala wa mwarabu na tamaduni zake vinaonekana wazi kabisa.
Mbona wanachapa kazi vizuri tu. Sema wanafidiwa kidogo na mfumo mbovu wa biashara ambao kiasi kikubwa unategemea utashi wa serikali.

Unakula matunda kibao, mahindi kibao kutoka Tanga. Tena unasifia urahisi wa bei ambao unamuumiza mkulima.

Mi naona hawa Watanga ni smart kwa kujaribu kuepuka maumivu mengi ili kuwafurahisha wengine
 
Watu wenye kufikiria vizuri na kuzingatia historia hatuwezi kukubali hilo kwa sababu halina utafiti na linaangaliwa juu juu na watu kama wewe, nadhani una kachuki fulani ka udini.

Maendeleo kwa ngazi za mikoa yana mambo mengi sana, kikubwa ni mipango ya mamlaka. Tanga unayoizodoa katika list ya mikoa yaenye wastani mzuri wa kipato kwa mtu mmoja mmoja wako nafasi ya 9

GDP per Capita in Thousand Tsh.
1. Dar es Salaam - 4,678,751
2. Iringa - 4,028,544
3. Mbeya - 3,788,604
4. Ruvuma - 3,396, 587
5. Kilimanjaro - 3,393,587
6. Arusha - 3,300,051
7. Njombe -3,183,728
8. Lindi - 2,885,533
9. Tanga - 2,843,991
10. Geita - 2,739,023
Chanzo : NBS
HII YA mwaka 2021, wako nafasi ya 7
Mikoa 10 yenye pato kubwa kwa mwaka 2021 (TZS) ni kama ifuatavyo:
  1. Dar es Salaam 27.5 Trioni
  2. Mwanza 11.9 Trioni
  3. Mbeya 9.1 Trioni
  4. Shinyanga 8.2 Trioni
  5. Morogoro 7.7 Trioni
  6. Arusha 7.6 Trioni
  7. Tanga 7.5 Trioni
  8. Geita 7.3 Trioni
  9. Kilimanjaro 7.2 Trioni
  10. Ruvuma 6.1 Trioni
Kingine nadhani ni suala la tofauti za tamaduni ndio zinawachanganya watu
 
Reactions: Cyb
Mara yangu ya kwanza kuona gay ilikuwa Tanga, club FAX.
Nilikuwa na washkaji zangu school trip.

The same night tuliona wasenge wawili watatu.
Tulistaajabu sana kuona 'mwanaume' akibambiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…