Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
Ningeshangaa wazee wa vikofia pele la jirani lisiwawashe.Wajinga ndiyo waliwao, watu tupo na wageni wa Dubai saa hizi tunachoma kondoo, huko leaders wanakwenda mapoyoyo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeshangaa wazee wa vikofia pele la jirani lisiwawashe.Wajinga ndiyo waliwao, watu tupo na wageni wa Dubai saa hizi tunachoma kondoo, huko leaders wanakwenda mapoyoyo tu.
Anawaandalia kipindi tapeli tu huyo, atakujawapiga pabaya hawataamini macho yaoKwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.
Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc
Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.
Linatuwasha la pengo.Ningeshangaa wazee wa vikofia pele la jirani lisiwawashe.
Majini yanaouwezo woteHu
Huyu nabii ndo anasema anachukua pesa zilizobak majini ndo izo watu wanapokea ko wanaopokea miamala wasiulize zinatoka wapi,yy anazikusanya pesa zote zilizopotea duniani
[emoji1787]Jamaa shabiki wa nabii anakwambia miracles are popping like popcorn [emoji2][emoji2]
Naomba jini moja bas mkuu,mana nayasaka sanaMajini yanaouwezo wote
Tuanze na nyama za kondoo za kuoka kwanza.....🤣DP World wanaajiri wakati wote, pitia hapa: DP World Careers
Mimi Sio wakala,nenda kwa mawakala utapata,jaribu kwa shehe sharif Majini akuchagulie linalokufaaNaomba jini moja bas mkuu,mana nayasaka sana
Unajua thamani ya dollar ya zimbabwe kwa leo au umekariri zimbabwe ya miaka ya 2000?Dola 200M as in 200 million?
Kwenye simu?
Za Zimbabwe au US?
Imekuaje mkuu , tupe ABC kidogo alichofanya kapola ! Wengine TV kipengele kidogo tulipo ni Simu tu.Tony kapola kajiharibia. Ninmchungaji kijana anayechipukia na tayari alishanza kuaminiwa na mamia ya watu. Lakini kwa tukio hili la leo la pesa za miujiza atabaki na watu wachache Sana hususan wale wenye uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo
Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.
Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc
Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.
Ukishaona mtumishi anahubiri sana kuhusu prosperity, na hata akikemea dhambi lazima ai link na prosperity na sio kuokoa nafsi yako, wito wake anasema ni kuja kutoa ulokole wa kinyonge na kuwaaminisha watu kuwa ufalme wa mbinguni ni power, utajiri, mamlaka kama yale ya dunia hii yan yy anaamini ukiwa na Yesu unatakiwa utawale kiuchumi na kimamlaka katika hii dunia, Tony hajawah kemea dhambi wala kuhubiri injili ya toba, akikwambia uache pombe au uzinzi mfuatilie lazima ata link na mafanikio ya kimwili na sio uzima wa nafsi wala upatanisho na Mungu, atakwambia vitakukwamisha ukose mahela, usifanikiwe, tena mwenyewe anasemaga kabsa mbinguni unaenda kwa Neema yan uzinzi haukuzuii kwnda maana hata ukitubu tuu dakika ya mwisho Mungu anakuchukua..freshiii tuu...,hahahaha hv mlikuwaga mnamuamini kabsa seriously hawa Gen z pastors hawa..na walivyo wengi huku bongo!Tell Us more Mkuu
Hii ni secular state mkuu,mambo ya kidini na upigaji wake tutajiokoa wnywN
Na serikali iko kimya na huu utapeli
Asante Mkuu, Nimekuelewa kuwa injili yake hai-balance.. Maana utakatifu ndio mlango wa kila kitu... Agano la Mungu na Israeli ni pale watakao tii sheria au maagizo yake Kumbumbu la Torati 28, ukisoma utajua kuwa kila siku Mungu hutoa maagizo kupitia neno lake, tunapaswa kuongoza na neno lake ktk mafanikio yoyote tuyatakayo. Watu hawasomi wala kutafakari Mungu wanataka unabii kutoka kwa manabii... Ndio maana wengi ndani yao wamejaza mafuta, lesson, maji, keki.. Badala ya Neno la Maarifa. MI naomba kama unampenda Yesu, ombea Hawa watu badala ya kuwacheka... Watu wanapotea bse hawana maarifa... Tuwaombee Sana Yesu awafungue macho na kujua ukweli 🙏🙏Ukishaona mtumishi anahubiri sana kuhusu prosperity, na hata akikemea dhambi lazima ai link na prosperity na sio kuokoa nafsi yako, wito wake anasema ni kuja kutoa ulokole wa kinyonge na kuwaaminisha watu kuwa ufalme wa mbinguni ni power, utajiri, mamlaka kama yale ya dunia hii yan yy anaamini ukiwa na Yesu unatakiwa utawale kiuchumi na kimamlaka katika hii dunia, Tony hajawah kemea dhambi wala kuhubiri injili ya toba, akikwambia uache pombe au uzinzi mfuatilie lazima ata link na mafanikio ya kimwili na sio uzima wa nafsi wala upatanisho na Mungu, atakwambia vitakukwamisha ukose mahela, usifanikiwe, tena mwenyewe anasemaga kabsa mbinguni unaenda kwa Neema yan uzinzi haukuzuii kwnda maana hata ukitubu tuu dakika ya mwisho Mungu anakuchukua..freshiii tuu...,hahahaha hv mlikuwaga mnamuamini kabsa seriously hawa Gen z pastors hawa..na walivyo wengi huku bongo!
Kinachotokea nadhani sababu ya njaa, wanapata wafadhili ambao wanawapa masharti, never talk kuhusu toba ya kweli, unyakuo au kurudi kwa Yesu mara ya pili, maisha ya umilele baada ya kufa, kumpenda Mungu na thamani ya wokovu wa msalaba, njia nyembaba iendayo wokovuni, hutakuta wanahubiri hizo mada na ni agenda maalumu wamepewa toka kuzimu.
The Word says, apendaye dunia kumpenda Baba hakupo ndani yake!
Na mtawashwa sana ila la kufanya ndio hamna,mtabaki kubweka kama mbwa kwenye banda ila miaka zaidi ya 2000 ya Kristo na Ukristo bado tunadunda tu.Linatuwasha la pengo.
Hamna tena? Huwaoni Waarabu wa DP World tumewapa nini?Na mtawashwa sana ila la kufanya ndio hamna,mtabaki kubweka kama mbwa kwenye banda ila miaka zaidi ya 2000 ya Kristo na Ukristo bado tunadunda tu.
Huu ndiyo usahihi wa maisha. MUNGU MWENYEWE ALIAGIZA TULE KWA JASHO.Note: Hakuna pesa ya bure namna hiyo hapa ulimwenguni