Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.

Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc

Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.
Anawaandalia kipindi tapeli tu huyo, atakujawapiga pabaya hawataamini macho yao
 
Tony kapola kajiharibia. Ninmchungaji kijana anayechipukia na tayari alishanza kuaminiwa na mamia ya watu. Lakini kwa tukio hili la leo la pesa za miujiza atabaki na watu wachache Sana hususan wale wenye uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo
Imekuaje mkuu , tupe ABC kidogo alichofanya kapola ! Wengine TV kipengele kidogo tulipo ni Simu tu.
 
N
Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.

Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc

Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.

Na serikali iko kimya na huu utapeli
 
Waislamu wakianza ibada za wazi za kuagua majini kuna Wakristo wengi tutawapoteza.

Tunatafuta misisimko, miujiza kama ndio njia ya wokovu! Sasa siku mashehe wakianza kuagua mapepo nawahakikishia Wakristo wengi hawa wanaotanga na makanisa wataishia huko.
 
Tell Us more Mkuu
Ukishaona mtumishi anahubiri sana kuhusu prosperity, na hata akikemea dhambi lazima ai link na prosperity na sio kuokoa nafsi yako, wito wake anasema ni kuja kutoa ulokole wa kinyonge na kuwaaminisha watu kuwa ufalme wa mbinguni ni power, utajiri, mamlaka kama yale ya dunia hii yan yy anaamini ukiwa na Yesu unatakiwa utawale kiuchumi na kimamlaka katika hii dunia, Tony hajawah kemea dhambi wala kuhubiri injili ya toba, akikwambia uache pombe au uzinzi mfuatilie lazima ata link na mafanikio ya kimwili na sio uzima wa nafsi wala upatanisho na Mungu, atakwambia vitakukwamisha ukose mahela, usifanikiwe, tena mwenyewe anasemaga kabsa mbinguni unaenda kwa Neema yan uzinzi haukuzuii kwnda maana hata ukitubu tuu dakika ya mwisho Mungu anakuchukua..freshiii tuu...,hahahaha hv mlikuwaga mnamuamini kabsa seriously hawa Gen z pastors hawa..na walivyo wengi huku bongo!

Kinachotokea nadhani sababu ya njaa, wanapata wafadhili ambao wanawapa masharti, never talk kuhusu toba ya kweli, unyakuo au kurudi kwa Yesu mara ya pili, maisha ya umilele baada ya kufa, kumpenda Mungu na thamani ya wokovu wa msalaba, njia nyembaba iendayo wokovuni, hutakuta wanahubiri hizo mada na ni agenda maalumu wamepewa toka kuzimu.

The Word says, apendaye dunia kumpenda Baba hakupo ndani yake!
 
Asante Mkuu, Nimekuelewa kuwa injili yake hai-balance.. Maana utakatifu ndio mlango wa kila kitu... Agano la Mungu na Israeli ni pale watakao tii sheria au maagizo yake Kumbumbu la Torati 28, ukisoma utajua kuwa kila siku Mungu hutoa maagizo kupitia neno lake, tunapaswa kuongoza na neno lake ktk mafanikio yoyote tuyatakayo. Watu hawasomi wala kutafakari Mungu wanataka unabii kutoka kwa manabii... Ndio maana wengi ndani yao wamejaza mafuta, lesson, maji, keki.. Badala ya Neno la Maarifa. MI naomba kama unampenda Yesu, ombea Hawa watu badala ya kuwacheka... Watu wanapotea bse hawana maarifa... Tuwaombee Sana Yesu awafungue macho na kujua ukweli 🙏🙏
 
I am very disappointed aisee
Yan nlkua naamini kila kilichokua kinaendelea Leaders Club via my youtube lakin baada ya kuona miamala ina option ya kureply text, nguvu zmeniisha kwakwel..Dah

Na ishu ya Bandari ikaongelewa tukaambiwa tusiwe na hofu..all shall be well in Tanzanians favour!
 
Linatuwasha la pengo.
Na mtawashwa sana ila la kufanya ndio hamna,mtabaki kubweka kama mbwa kwenye banda ila miaka zaidi ya 2000 ya Kristo na Ukristo bado tunadunda tu.
 
Hamna tena? Huwaoni Waarabu wa DP World tumewapa nini?

Hujaona Waarabu wa Oman tumewapa nini?

Hjaona Waarabu wa Saudi Arabia tunewapa nini?

Hujaona Waarabu wa Sbu Dhabi tumewapa nini?

Jamuulize pengo kama huelewi.
 
Back
Top Bottom