Elimu za bongo za hovyo sana kwa hiyo wakina Mandela sio vingozi kwa sababu walikua wanaharakati au JK Nyerere ambae alitka kusini mwa jangwa la Sahara Nchi zote ziwe huru..
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.