Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Nakubaliana na wewe.Hayo mengine uliyoyaandika kuwa CDM wakisusia uchaguzi,vyama vingine vitashiriki na kuuhalalisha, ni kweli kabisa.
Nilichotaka kukusahihisha ni kuwa kauli ya No reforms no elections si kauli ya Lissu wala Mbowe, ni kauli ya CHADEMA.
Amandla...