Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Hayo mengine uliyoyaandika kuwa CDM wakisusia uchaguzi,vyama vingine vitashiriki na kuuhalalisha, ni kweli kabisa.

Nilichotaka kukusahihisha ni kuwa kauli ya No reforms no elections si kauli ya Lissu wala Mbowe, ni kauli ya CHADEMA.
Nakubaliana na wewe.

Amandla...
 
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.
Hayo ni mauchafu ya ccm wakishirikiana na mbowe.

Tundu Lissu ni msafi na ana maadili mema.
 
Back
Top Bottom